Nataka kuahirisha kuoa Oktoba Mwaka huu

Wadau nisaidie kimawazo na Ushauri Mwaka huu Mwez October ni harusi yangu ila Gafla imetokea sitaki kusikia kitu kuhusu ndoa kabisa. Inshort sitaki kuoa Mwaka huu hata mwanamke nayetaka kumuoa sitaki hata kumuona nimetokea kumchukia Namuona hadi ni kero kwangu

Taratibu zote za harusi tayari ila nataka kuahirisha kufunga ndoa mwaka huu nifanyaje ili hii harusi isifungwe mwaka huu nimechanganyikiwa

Kuna mchepuko ameshafanikiwa kukuloga. usije ukaahirisha kama huna sababu yoyote tu.kwa nini ufikirie uahirishe kirahisi jambo la mhimu kama hilo?
 
Apo inabidi wewe kama wewe utathmini sababu inayofanya uchukie lkn pia na huyo mwenza wako umshirikishe na kumkanya huenda ulichoambiwa au kuckia ni uongo kwa iyo fanya utafti alafu pia ufanye maamuzi labda ya kuachana nae au uendelee nae
 
Hii ndio athari ya kupanga ndoa mwaka mmoja mbele, ona sasa mtu mpaka anabadili mawazo. Ndoa inatakiwa kama goli la sudden death, likiingia tu na mechi imeisha. Tatizo watu mna tamaa ya kuchangisha watu wakati ndoa ni yenu. Fanyeni tu kitu simple kilicho ndani ya uwezo wenu jambo lipite.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wadau nisaidie kimawazo na Ushauri Mwaka huu Mwez October ni harusi yangu ila Gafla imetokea sitaki kusikia kitu kuhusu ndoa kabisa. Inshort sitaki kuoa Mwaka huu hata mwanamke nayetaka kumuoa sitaki hata kumuona nimetokea kumchukia Namuona hadi ni kero kwangu

Taratibu zote za harusi tayari ila nataka kuahirisha kufunga ndoa mwaka huu nifanyaje ili hii harusi isifungwe mwaka huu nimechanganyikiwa

Wakati wataka kuoa hukutushirikisha. Kwanini sasa iwe habari yetu pia?
 
Uchagani inafanya kazi mkuu..mimi nilikua na hamu ya mbuzi wazee wakawa wanabana,nikabeba panga nikakata migomba kama 10 hivi kesho yake nikachinjiwa mbuziii kuniondolea mikosi
Hii ipo sana uchagani...kuna jirani yangu alifyeka migomba kama upepo vile..wakaja kumchinjia ng'ombe na mbuzi eti kuwa kuna mtu anamloga.
 
Wadau nisaidie kimawazo na Ushauri Mwaka huu Mwez October ni harusi yangu ila Gafla imetokea sitaki kusikia kitu kuhusu ndoa kabisa. Inshort sitaki kuoa Mwaka huu hata mwanamke nayetaka kumuoa sitaki hata kumuona nimetokea kumchukia Namuona hadi ni kero kwangu

Taratibu zote za harusi tayari ila nataka kuahirisha kufunga ndoa mwaka huu nifanyaje ili hii harusi isifungwe mwaka huu nimechanganyikiwa

Itabidi kirudisha kwanza michango yetu
 
Je huyo mwanamke umemuona ana dalili kama mademu wa kisasa (kudanga na mabwana lukuki)?
 
,hii hali syo ya kawaida unavyofikri, koz kila hatua binadamu anayopiga kuna wapo wanaotamani wakurudishe nyuma. Mungu akuteteee uifunge ndoa yako.
Washrikishe watu unaowaamini hili jambo,koz s la kawaida
 
Weka sababu za kumchukia hadharani. Haiwezekani ghafla tu KE uliyempenda hadi kumchumbia ukamtambulisha kwenu na ukakubali kutambulishwa kwao na kukamilisha process zote za harusi hutaki hata kusikia jina lake. KULIKONI!?
Yes aseme ukweli
 
karma is a bitch

Mkuu hapo huenda dawa alizokupa zimeisha au wewe tu na Wenge lako la kukwepa majukumu..

siamini katika ushirikina lakini lisemwalo lipo, na huwa halina taarifa huja tuu ghafla kama kifo..

Choose wisely,,, Akili yako ifanye kazi.... Wazazi, ndugu na jamaa walikuwa wametulia zao wewe ndio ukawapelekea hilo jambo, na sasa ni jukumu lako pia kuwapelekea hilo jipya lililokupata.....
 
Similar Discussions

6 Reactions
Reply
Back
Top Bottom