Nataka kuagiza laptop nje ya nchi, je TRA na bandarini kuna ushuru?

hata ukiwa na computer zaidi ta kumi hakunda ushuru
jana nilikuwa natoka nairobi nilikuwa na netbook pisi kumi tulivyovuka tu boda mara watu wa TRA hawa hapa hakatusach wakanikuta nazo wakala laki yangu. tulipofika kajiado tena hawa hapa wakala fifty yangu. niliona usumbufu kuanza kubishana nao maana gari lingeniacha.
 
Wana JF naomba mwenye kujua, kama endapo nitaagiza laptop nje ya nchi kuna ushuru wowote TRA, bandarini au Airport, hofu yangu kubwa isije kuwa hizi laptop zinazo uzwa nje zikawa na ushuru kama wa magari. Kwa sababu kwenye mtandao naona zinauzwa bei poa sana, naogopa nisije lia kilio cha kusaga na meno pindi itakapokuwa imewasili bandarini au uwanja wa ndege. Mwenye ufahamu tafadhari anijuze. Natanguliza shukurani za dhati.

Chacha njomba kwa nini usiwaulize TRA wenyewe. Lakini nina mashaka na wewe unataka kuagiza laptop moja au elfu moja? OOps container lililojaa laptops.
 
Nafikiri ni TV yenye uwezo wa kuwa kama computer monitor, na sio 'monitor yenye tv'

hizi flat screens nyingi zinauwezo huo..tembelea tu madukani

Mkuu Monitor zenye TV zipo na mimi ninazo nikuzie?

Key Specifications:

Monitor Type: 19" TFT LCD Monitor
􀂃 Native Resolution: 1280x768 @60Hz
􀂃 Response time: 25 ms (typical)
􀂃 Contrast Ratio: 600:1 (typical)
􀂃 Brightness: 450 cd/m2 (typical)
􀂃 Display Colors: 16.7 Million
􀂃 Viewing angles (H/V): +/- 85°
􀂃 Power consumption: 110W (max)
􀂃 Video inputs: Component (1); S-Video (1); HD
component (2); TV In/Coax (1); DVI-HDCP (1,
shared with PC).
􀂃 PC inputs: VGA (analog, 15 pin D-sub); DVI
(shared with TV); PC audio
􀂃 Audio inputs: 5 (RCA L+R)
􀂃 Outputs: Composite (1); audio (RCA L+R, 1 pair);
headphone jack (1), subwoofer out (1)
􀂃 Height-Adjustable Stand
􀂃 Dimensions (with stand): 23.8 x 16.7 x 6.61”;
21.4 lbs
􀂃 Speakers: integrated, full range, 7
watts/channel
􀂃 Picture-in-Picture modes: PIP, POP, PBP, PC
gfx on PC gfx; video on PC gfx; video on video1
􀂃 Analog tuner; SDTV and HD-ready; NTSC,
PAL, SECAM TV Color System
􀂃 Closed Caption, Parental control, SAP and
Teletext ready
􀂃 Ships with remote control plus power, VGA,
DVI, S-video, composite & audio cables
􀂃 Standard dedicated support queue plus
Advanced Exchange3
1The P/P (PIP, POP, PBP) features support viewing of two content sources simultaneously, but not two TV channels unless the viewer has an additional TV tuner. 2Expected pricing,
specifications, availability, and terms of offers may change without notice. Taxes, fees and shipping charges are extra, and vary. Dell cannot be responsible for pricing or other errors,
and reserves the right to cancel orders arising from such errors. 3Replacement system or replacement part will be dispatched, if necessary, following phone-based troubleshooting, in
advance of receipt of returned defective part or system. Replacements may be refurbished. Defective unit must be returned. Availability varies. Other conditions apply. Dell and the
Dell logo are trademarks of Dell Inc. Dell disclaims proprietary interest in the marks and names of others. Copyright 2004 Dell Inc. All rights reserved.
 
Back
Top Bottom