Unataka kuruka mkojo ukanyage mavi naona kaka yangu wadamu alikuwa na gari mbili uber kazitoa ww wataka endesha haya kila la kheriHabar za Wikiendi.
Mimi ni kati ya wale tuliochoshwa na Ajira. Nimefikiria sana naona bora nianze ubber. Naomba ushauri kwa wazoefu wa ubber.
Pointi mkuu.Hapo mwishoni umeharibu kidogo, mm nikajua mpaka dakika hii ulitakiwa uwe umeshajua ubber inakuwaje ? faida yake? mwishoni ujue na changamoto zake.kabla ya kufikria kuacha kazi yako.
kumbuka;
heri shetani uliyemzoea kuliko malaika mpya.
Kapaki kijiweni usubiri abiria wako utachukua 100%ubber kuna bepali ananyonya kuliko hata mwajiri wako...
gari la kwako, mafuta ya kwako, ila kila trip anachukua asilimia 25
Kapaki kijiweni usubiri abiria wako utachukua 100%
Ndio maana siku zote matajiri watabaki kuwa wachache mno, uber imetajirisha vijana:
1. Anakopeshwa gari bila sent tano kijana anajikunja ndani ya miaka 2 tu gari lake
kupitia Uber CRDB pekee wamekopesha magari 260 bado bank zingine bado mtu mmoja mmoja.
2. Niambie ni wapi utakopeshwa gari ya 12 mln bila sent ? mtaji ni leseni yako tu
3. Ukiona mabank wanafatilia mradi na wako tayari kutoa pesa zao jua hapo kuna ulaji
4. Uber ni FURSA yako wewe" KIJANA"Mchakalikaji/mchapakazi, Discipline ya hakika,
dereva mjuzi/uzoefu ,huna anasa/ulevi wowote, mwenye ndoto na malengo,
. . . . Inaendelea . . . .
Habar za Wikiendi.
Mimi ni kati ya wale tuliochoshwa na Ajira. Nimefikiria sana naona bora nianze ubber. Naomba ushauri kwa wazoefu wa ubber.
WaTZ hawakosi majibu, haya sasa mm dalali ? ? , Hongera sana mkuu, Amina ! !Tuulize tulioko kwe sector za bank we jamaa...magari 250 unaona kama ndo kama yote sio.
Dereva yoyote hata tax hii mikopo anapata kwakua risk ni ndogo gari ipo insured na wewe lazima kwanza tukucheki mda ambao umekua kwe biashara sio mtu unaanza leo tukupe gari.we utakua ni wale madalali wa uber wanaotafuta madereva..kwanini jamaa asiendelee na kazi akamweka mtu uzuri wa uber haidanganyi kila mteja anayepata nawe waweza ona so mnagawana pasu kwa pasu na atakua na vipato viwili..na sasa serikali inavyowabana hawa madereva sijui ka atapata kipato cha kuridhisha