Nataka kazi TAKUKURU au KAMISHENI YA MAADILI YA VIONGOZI

Masaningala

JF-Expert Member
Nov 19, 2010
543
199
Kwa muda mrefu nimekuwa na hamu ya kufanya kazi katika mojawapo ya ofisi ya TAKUKURU au Kamisheni ya Maadili ya Viongozi. je nitumie njia ipi nipate nafasi huko? Kazi ninayotaka iwe ya mkataba. mojawapo ya malengo yangu ni kwenda kufundisha uwajibikaji na kuweka uwazi maeneo hayo. Naomba msaada wa mwongozo.
 
NAMI NATAFUTA OFISI HIZO NIONYESHE UZALENDO WANGU KWA TAIFA LANGU......sihitaji mshahara mkubwa bali nafasi ya kufanya maamuzi na maamuzi hayo kuhakikiwa kama yapo sahihi....MASANINGALA....ukipata nijulishe na niunganishe na mimi
 
Mnajua umanachoongea au mnataka kufurahisha wana jf? Na mnajua maana ya system?
Fatiliiene vyombo vya habari kazi zikitangazwa ombeniiii tu.
 
Hizo kazi waachieni wenyewe wazifanye watakavyo. Unaweza kuingia humo ama ukapigwa vita sana mpaka kuweza hata kupoteza uhai wako au na wewe ukawa wale wale tu. Nasema hivyo kwa sababu,huyu hapa Hosea alichunguza kashfa ya Richmond akatoa taarifa kuwa hakukuwa na dalili za rushwa wala ukiukwaji wa maadili.Mwakyembe alivyofuatilia na tume yake kulitokea nini,wote mnajua.Huyu hapa Chenge mjumbe wa tume ya maadili na mali za viongozi,alichofanya ni kujiwekea fedha nje ya nchi zikiwa hazijaorodheshwa miongoni mwa mali zake.Zilivyogunduliwa kasemaje.VIJISENTI.We waachie wenyewe walindane huko.
 
Umewahi kuziona nafasi za ofisi hizo zikitangazwa? Halafu tunaomba background yako, baba yako amewahi kuwa senior ofisa kwenye ofisi yoyote ya maana hapa mjini? au tu unajiona umesoma unataka kujifanya unafaa kuajiriwa kwenye hizo kazi, teh teh? Kwanza omba tu then you will learn qualifictions later zinazohitajika kwenye hizo ajira!
 
Mimi nimewahi ziona mara nyingi zinatangazwa tena nafasi nyingi lakini mara zote nilizoomba sijwahi hata kuwa shortlisted kwa interview. Kazi kweli
 
Mimi ningependa kufanya kazi UWT. lakini hata TAKUKURU itakuwa powa. Napenda kuona knowlendge ndogo ya teknolojia niliyonayo inalisaidia taifa.
 
Jamani nifanyieni deal pale kwa majasusi. Napenda sana nifanye kazi na wale jamaa, au nimeni jinsi ya kupaingia
 
Mimi nimewahi ziona mara nyingi zinatangazwa tena nafasi nyingi lakini mara zote nilizoomba sijwahi hata kuwa shortlisted kwa interview. Kazi kweli
utapataje kazi huko na wewe sio mtoto wa mkubwa??
 
Back
Top Bottom