Richmoto Kushmoto
JF-Expert Member
- Jan 18, 2021
- 549
- 557
kama inavyoonekana kwenye picha nataka iyo hustle gang niipandishe kwenye local C.
Software za partition kama easeus zinaweza ku merge bila ku lose data.kama inavyoonekana kwenye picha nataka iyo hustle gang niipandishe kwenye local CView attachment 1940810
kikubwa chief hapo ni kupata space ya kutosha maana hdd ni 320 GbSoftware za partition kama easeus zinaweza ku merge bila ku lose data.
Sawa mkuu, tumia hio program ama torrent click mbili tu iramergekikubwa chief hapo ni kupata space ya kutosha maana hdd ni 320 Gb