dvj nasmiletz
JF-Expert Member
- Jul 23, 2018
- 2,020
- 2,157
Nina milion 1 na laki 3..maelewano yapo ila isizidi milion 1 na laki 4
Yoyote mpyaAina gani ya gari unataka
Kwani pale DSM posta opp na maktaba, kwenye mataa, mbele ya holiday inn ukitokea posta mpya si kuna show room ya brand new magari? Au nimekosea? Na pale kstikati ya posta ya zamani na NBC HQ hakuna hizo mambo..??Ivi kuna gari mpya unaweza ukapata showroom si mpka uagizie
Sitaki toyo... Nataka gariKwani pale DSM posta opp na maktaba, kwenye mataa, mbele ya holiday inn ukitokea posta mpya si kuna show room ya brand new magari? Au nimekosea? Na pale kstikati ya posta ya zamani na NBC HQ hakuna hizo mambo..??
By the way, 1.4M hata toyo mpya hapati...
Ongezea ...ta ..upate toyota ya saizi yakoSitaki toyo... Nataka gari
Haya, endelea kutakaSitaki toyo... Nataka gari
sawaHata toyo mpya hupati ,pita zako kule
we hauna??Nenda kinondoni unapata mpya kabisa!
Na chenji inabaki.
Utupe mrejesho.
nataka gari mkuu... Pikipiki nitawakosa watoto wa chuoKanunue pikipiki
Mimi nauza side mirror za ndege na tractor left hand.we hauna??
Side mirror bei ganMimi nauza side mirror za ndege na tractor left hand.
Karibu.
Size ipi mkuuSide mirror bei gan
yoyoteSize ipi mkuu