Nataka ban mie nimechoka khaaaa!

Pawaga

JF-Expert Member
Feb 14, 2011
1,330
966
Jaman mi nmekuwa addicted nataka nipigwe BAN nifanyeje?,kweli nimechoka yan nashinda mchana kutwa humu,ucku kucha nipo tu,loh nadhan nikipigwa ntaacha kuingia ingia hapa hvyo nambieni nifanyeje nipate ban?
 
Flood mathread kibao humu yanayojirudia rudia kama alivyofanya THATHA
 
tehe! tehe! tuhu! tuhu!!
Ntukane dr Slaa, jK,mboWE, nk kwa kutaja viungo vyako vya uzazi, ukimaliza tumia hata vya wazazi wako...
 
Kama vipi jiban mwenyewe, siku ukiimis Jeiefu unarudi!!
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom