Nataka Apply TPDC

Mad Max

JF-Expert Member
Oct 21, 2010
18,899
49,113
Habari wakuu.
TPDC wametoa post za kazi, deadline 27 june. Mimi kufika hiyo tarehe nitakua nimeshamaliza chuo (Geologist) so nimependa ni apply nijaribu baht yangu. Ila nina maswali naomba mnisaidie:
-Watakubali provision results yenye matokeo ya semester 5?
-Kuna watu wanasema eti barua za application lazima zitumwe kwa EMS, je ni kweli? Wanadai kwa posta ya kawaida zinaweza kukaa ata mwezi mzima njiani.
-Ni mgeni ktk ku apply kazi, hivi unaruhusiwa kuomba zaidi ya kazi moja iwapo wametoa kazi tofauti tofauti? Yaani niandike barua ya kuomba kazi A, Kazi B au hadi Z?
Nitashukuru nikipata Majibu.
 
Waweza omba as many posts as u can cha muhimu uwe na qualifications,kutuma barua kwa njia ya posta ni safe na zinafika kwa wakati ,posts nyingi wanahitaji wenye first na upper second how can a provisiona result potray that?bt u can try ur luck bro
 
Unaweza kuomba ata kaz kumi kwa wakat mmoja na ktk tangazo moja wewe jarbu bahat ems si garama ni kama 12000
 
Mkuu uko wapi maana E M S ni haraka lakini
ghari sana ila tuma bila luchoka unajua
atafutae hachoki
 
Asanteni wakuu. Nipo ddoma tu hpa manispaa tena. Niliku najua kwa njia ya posta zinaweza chelewa sana. Maana nimeplan kutuma tar 20 hafu deadline 27.
 
Habari wakuu.
TPDC wametoa post za kazi, deadline 27 june. Mimi kufika hiyo tarehe nitakua nimeshamaliza chuo (Geologist) so nimependa ni apply nijaribu baht yangu. Ila nina maswali naomba mnisaidie:
-Watakubali provision results yenye matokeo ya semester 5?
-Kuna watu wanasema eti barua za application lazima zitumwe kwa EMS, je ni kweli? Wanadai kwa posta ya kawaida zinaweza kukaa ata mwezi mzima njiani.
-Ni mgeni ktk ku apply kazi, hivi unaruhusiwa kuomba zaidi ya kazi moja iwapo wametoa kazi tofauti tofauti? Yaani niandike barua ya kuomba kazi A, Kazi B au hadi Z?
Nitashukuru nikipata Majibu.

Kama uko Dar, panda daladala mpaka Posta, nenda Mafuta House au sijui Mkapa tower ndio ofisi zao zilipo, uwaulize hayo maswali na utapewa majibu yote kwa maana wao ndio wahusika wakuu, humu JF waangalia Bunge saa za kazi watakuzingua tu!

Wadau JF,
Mimi nataka kuomba pia moja kati ya hizo nafasi,,naomba mwenye kufahamu scale ya TPDC PS 5 ni Tshs ngapi? Asanteni
 
Unauliza mchanga kwenye keki ya taifa? TPDC hata kama unalipwa laki moja nenda mzee...chezea mawese wewe!!! Hot cakes ukiacha BOT ni hao TPDC bro!!
 
Wana JF kwanini mnamjibu huyo bwana kihuni zaidi? Hivi uliwahi kuona wapi serikali inatangaza kazi kisha eti unaonba kwa kutumia statement of results. Kwanza hayo majibu hata ayajathibitishwa na vikao halali vinavyo govern chuo. Kijana maliza shule pata vyeti utaomba next time hata kama sio TPDC
 
Umeongea ukweli mtupu ,
 
Unauliza mchanga kwenye keki ya taifa? TPDC hata kama unalipwa laki moja nenda mzee...chezea mawese wewe!!! Hot cakes ukiacha BOT ni hao TPDC bro!!

Hakujua TPDC ni nini.. wengine age limit ndo inakwamisha hapo
 
Back
Top Bottom