Kama heading hapo juu inavyo sema mimi ni kijana ninae ishi mikoa ya kanda ya ziwa.
Nimuaiiliwa serikalini na elimu yangu ni shahada, dini ni mkristo, umbo langu si mnene wala si mwembamba na urefu wa wastani
natafuta mchumba atakae kua mke endapo tutaelewana umli kati ya miaka 24 hadi miaka 33 kwa upande wangu nina miaka 34
sifa za ninae muhitaji
elimu angalau kidto cha nne na kuendelea
Awe mkiristo, asitumie pombe wala sigara na awe mcha Mungu (God fearing person)
Awe anaishi mikoa ya kanda ya ziwa au awe tayari kuhamia kanda ya ziwa kwa sababu sipeni kua na ndoa ya mbali.
Akiwa na mtoto mmoja ruksa kwa maana hata mwenyewe nina mtoto lakini asiwe mke wa mtu
Angalau awe na shughli ya kumuingizia kipato au awe tayari kushirikiana nami kuingiza kipato cha familia katika miradi nitakayo ifungua
kwa alie tayari anitafute kwa namba 0628944712