Natafuta Zilipendwa

NIMEONA WATU WANATAFUTA NYIMBO ZA ZAMANI KIDOGO WENGI WANAITA ZILIPENDWA NIMEAMUA KUWEKA CHACHE NIMECHANGANYA NA KWAYA KIDOGO NA ZA KIKABILA

FUNGUA www.gmail.com

ANDIKA ndiozetu KAMA USERNAME

ANDIKA zilipendwa KAMA PASSWORD

NAOMBA USIFUTE HIZO NYIMBO WALA KUBADILI PASSWORD KWA SABABU NITAKUWA NAONGEZA ZAIDI KILA WIKI

Ukikosa wako ehh utalia sana Mama

Masikini HII sina wangu eeh , nakosa wangu ehh mi nalia sana Mama

Tukatike , mpaka chini tukatike

Mtoto Si Nguo Utaomba Mtu mama
 
mchungaji
yes za omoo kolthoom ninazo lkn sio nyingi kama 4 hivi,kuna moja hiyo unaijua inaitwa ZALAMNA EL-HUUB,ahhh weee acha tu.kwani mchungaji kiarabu kinapanda hapo?
za shakila na bw matona sina mkuu.

Kiarabu sikimanyi, ni utamu wa melody na sauti ya muimbaji vikiendana na beats ndivyo nafuatilia katika muziki.

Katika nyimbo za Taarab hasa kama Kolthoom, kuna bass (nafikiri wanatumia celo), bado kuna accordian na violin ambazo hujibishana vizuri sana!
 
Waridi,

Rekodi zote nilizoomba, zilikuwa RTD. Mtu angeweza rekodi kutoka redioni na kwenda kwenye kanda. Sasa mimi natafuta origino si hizi za siku hizi kina Bichuka na wenzake kwenda studio za Boni kurekodi Selina, halafu zinaanza kuwa na improvisation ya kwasakwasa au mayenu!

Nyerereist,

2pac, Biggie ninazo, hata Roots mpya ninayo. Hawa wa kwenu kina Chingy, Lil takataka, na crunk siyawezi tena.

Biggie na 2pac na hata Snoop,Cube, Ice-T, LL, na wazee kama kina Kool mo dee, bado ukiwasikiliza ni poa. Nikisikia hizi kelele za siku hizi za kina thumni, Mchezo, thug thug thug, it makes me sick!
Same music beats and arrangements, hakua creativity zaidi ya kushangilia makalio ya kina dada!
 
Kishoka,
Ulizipata nyimbo za TANCUT ALMASI?

Jamani nazitafuta kwa udi na uvumba ......
1. Sina cha kukupa mama mamaa, bali shukurani mama mama mamaee..
2. Usinisogelee mimi siwezi kupigana na mwanaume wa kwako.
3. Nakulilia Africa, mimi mwana wa Africa ........

Nilizisikia zamani na nikazipenda sana ila bahati mbaya ilikuwa kaseti ya Mwakalinga na ikabidi niirudishe kwake bila kufanya rekodi. Najilaumu kumrudishia.....
 
All members,
Natafuta nyimbo za hii bendi ya Iringa iitwayo TANCUT ALMASI.

Mwenye nazo tuwasiliane.
 
Nami hapa katika zilipendwa kuna nyimbo nyingi sana nazitamani kumiliki lakin sijafanikiwa kuzipata..Kuna vibao vya Biashara jazz na Bima Lee Orch.
Kuna ule unaitwa Kipini cha dhahabu...( magenge mengine mabaya...ooho mama watoto..watu wanapokusanyikaa...wengine hufaidika...) hayo ni baadhi ya maneno na huu mwingine wa king Makusa..
..Kumbe mshenga katoroka pesa na mali hakupeleka yeyeee ..ooho
..Nilipompa pesa hakuwepo shahidi..nitafanya nini eehe ooho
 
Nadhani TBC wanaweza kukusaidia au nenda kwa djs wa zamani. Kitenge wa EATV naye anaweza kukusaidia. Kirahisi zaidi nenda MAMU!
 
All members,
Natafuta nyimbo za hii bendi ya Iringa iitwayo TANCUT ALMASI.

Jamani nazitafuta kwa udi na uvumba ......
1. Sina cha kukupa mama mamaa, bali shukurani mama mama mamaee..
2. Usinisogelee mimi siwezi kupigana na mwanaume wa kwako.
3. Nakulilia Africa, mimi mwana wa Africa ........

Nilizisikia zamani na nikazipenda sana ila bahati mbaya ilikuwa kaseti ya Mwakalinga na ikabidi niirudishe kwake bila kufanya rekodi. Najilaumu kumrudishia.....

Mwenye nazo tuwasiliane.
Sikonge,
Ukizipata nyimbo za TANCUT usinisahau. Nilikuwa nazimia kwa wimbo "Alimasi."
 
kaka ungeweka namba yako ya simu mimi nina nyimbo zilipendwa 2 gb unaweza kupata some ambazo mabe hujapata kwa wngne....tuwasiliane kwa simu hii 0768891102
 
Nami hapa katika zilipendwa kuna nyimbo nyingi sana nazitamani kumiliki lakin sijafanikiwa kuzipata..Kuna vibao vya Biashara jazz na Bima Lee Orch.
Kuna ule unaitwa Kipini cha dhahabu...( magenge mengine mabaya...ooho mama watoto..watu wanapokusanyikaa...wengine hufaidika...) hayo ni baadhi ya maneno na huu mwingine wa king Makusa..
..Kumbe mshenga katoroka pesa na mali hakupeleka yeyeee ..ooho
..Nilipompa pesa hakuwepo shahidi..nitafanya nini eehe ooho
Vipi chief uliupata huo wimbo wa mshenga katoroka??
Nautafuta pia.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom