Natafuta Youtube akaunt ya kununua


chemri

chemri

Member
Joined
Jan 19, 2019
Messages
35
Likes
93
Points
25
chemri

chemri

Member
Joined Jan 19, 2019
35 93 25
Habali wakuu
Huu uzi unawalenga wamiliki wa YouTube acount

Ninaitaji YOUTUBE ACCOUNT ambayo tayari inapokea matangazo...
Ikipatikana pia ambayo hania matangazo pia nayo nitanunua

Njoo na offa yako

NB tuuziane bei za kawaida sio kunipiga

Sent using Jamii Forums mobile app
 
wehoodie

wehoodie

JF-Expert Member
Joined
Nov 20, 2011
Messages
914
Likes
553
Points
180
wehoodie

wehoodie

JF-Expert Member
Joined Nov 20, 2011
914 553 180
Fungua gmail account kisha logon....au unataka subs?
 
Dejavu

Dejavu

JF-Expert Member
Joined
May 31, 2018
Messages
1,300
Likes
2,660
Points
280
Dejavu

Dejavu

JF-Expert Member
Joined May 31, 2018
1,300 2,660 280
Nenda dark web kuna professional hackers wape kazi wahack account moja ya YouTube unayohitaka then wakuuzie kwa bei ya kimtaa, wewe unawalipa hela ndogo sana.

Simple.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
BrazakakaBura

BrazakakaBura

Member
Joined
Feb 16, 2017
Messages
97
Likes
27
Points
25
Age
47
BrazakakaBura

BrazakakaBura

Member
Joined Feb 16, 2017
97 27 25
cheki TANZA LIVE TV kama itakufaa nikuuzie


Sent from my iPhone using JamiiForums
 

Forum statistics

Threads 1,261,723
Members 485,312
Posts 30,101,711