Natafuta yenye jina langu... hadi kieleweke...

VAN HEIST

JF-Expert Member
Aug 26, 2014
1,434
608
1422293575536.jpg
 
Wakati wenzio wanataka waone majina yao yameandikwa kwenye hati za nyumba, we unatafuta kwenye chupa ya soda, hongera mkuu.
 
Zente majina huwa hawanywi hao. Wanatunza kwa ajili ya maonesho

Nchi kama Russia coca cola imepachikwa majina na wachezaji wa timu ya taifa,ndo inayovyouzwa mtaani.
Sasa hii ya kuweka kumbukumbu kwenye jina moja ni umaskini tu
 
tayari jina langu lipo kwenye hati mbili za nyumba mbili tofauti

Huo ndio mpango mzima. Tatizo wengi wanaishi kimaigizo sana. Jina lako likishakua kwenye chupa ama kopo la coca SO WHAT? Deal kusaka pesa, sio jina
 
Tehe tehe tehe tehe tehe,wakati mwingine lazima vituko viwepo ili maisha yasonge mbele.
 
Unamkuta mumeo anakunywa kinywaji cha coca kimeandikwa grace au sophia..au mkeo kinywaji chake kimeandikwa john au hamisi lazima pachimbike.
 
Mi nahakikisha jina langu limeandikwa kwenye daftari la uzima kama Mungu hatumii computer mpaka leo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom