Natafuta wimbo wa Tony Curtis unaitwa 'Boom she Boom'

Gushleviv

JF-Expert Member
Mar 14, 2011
3,437
5,146
Wadau kama kichwa cha habari kinavyojieleza, nautafuta wimbo wa mwanamuziki TONY CURTIS unaitwa BOOM SHE BOOM.
Naomba yeyote alienao anipe link yake ya mp3 au auweke hapa kwenye huu uzi.

Naomba kuwasilisha.
 
  • Thanks
Reactions: Ctr
mi nautafuta ule wimbo ulipigwa club kwenye movie ya misukosuko part 1 seba akawa anaucheza
 
Back
Top Bottom