Natafuta wimbo wa Rafael alikuwepo by Fred Saganda

figganigga

JF-Expert Member
Oct 17, 2010
25,483
54,846
Kuna msanii simkumbuki jina aliimba wambo wa rafael. baadhi ya mistari ninayo kumbuka ni;
"ninamna gani, ni jinsi gani tutawin maishani mpaka siku tunasema buriani, ni jinsi gani yesu wangu.
tulikua tumekaa pale bar rafael akaja akatuangalia machoni akatudharau akaingiza mkono mfukoni akaagiza walete kama tulivyo. mariam alikuwepo, joshua alikuwepo na yule kijana anaye kaa pale kona nani? chua eeh! eti chua nae alikuwepo". hayo ni baadhi ya maneno ninayo yakumbuka. mwenye huo wimbo nauomba. thanx. mia

====

Ahahahahahaaaaaaaa, nakumbuka kitu hicho mwaka 2000 nipo form three! hata mie natamani mwenye hicho kitu atuletee hapa make nilikuwa nacheka sana wimbo huu unapoimbwa!
 
dah! huyu jamaa alikua poa. ndiye aliye mshauri mr ebo aimbie ile style. kipindi hicho mr ebo alikua anaimba hip hop tena kwa kimombo ndo baadae akaja na mi mmasai. Huu wimbo wa rafael upo kiwango sana. hadi sasa hamna anaye mfunika aisee!. mia
 
Hahahha!! umenikumbusha mbali sana mwenye thread hii,huyo jamaa anaitwa Fred Saganda aka SAGANDA,alikuwa anasoma zamani kaole kule bagamoyo baadae akawa lecturer pale pale kaole,ni producer wa music na mtengeneza film,na anatengeneza pia hizi short film mfano za ukimwi zinazozaminiwa na mashirika ya nje,kwa kweli kipaji anacho,mi namjua vizuri sana mana nilisoma nae pale mlimani na hata wakati tukitengeneza nyimbo zetu enzi hizo tulikuwa tunamwita aje atoe ushauri wake alikuwa peace sana.kwa sasa anafanya maigiz kwenye stesheni ya STAR TV,kwenye kipindi cha PICKABOMB!!,kile watu wamevaa kama masnamu halafu wanaigiza rafudhi ya kichaga na kipemba, we tazama star tv utamwona tu yeye ni yule jamaa anayeigiza kwa kichaga.Jamaa kwao alikuwa mambo supa sana mana dingi alikuwa ni profesa na yeye alikulia mule ndani chuoni ndipo baba yake anapokaa,inasemekana dingi yake alikuwa hataki kabisa jamaa asomee maswala ya muziki ila jamaa muziki ulikuwa kwenye damu ikabidi dingi mwenyewe asarende.
Kwa kifupi hawa ni watoto wa kishua wa maprofesa yeye pamoja na wengine akina HASHIMU DOGO,wote hawa wamekulia ndani mule udsm watoto wa maprofesa.
Mara ya mwisho nilikutana naye mwenge kituo ch mabasi miaka mingi sana nyuma,alikuwa anatoka bagamoyo kaole nafikiri,siku zote alikuwa anatembea na gitaa lake,anaimba rap lakini ni mwimbaji mzuri wa reggae pia sema kutokana na uzushi wa ma-DJs wa bongo watu wengi wenye vipaji waliamua kusarenda akiwemo saganda kuepuka manyanyaso yao mana walikua wanajifanya miungu-watu hasa hasa CLOUDS wale jamaa ni mashetani wakubwa sana siwapendi kabisa ndio walioua mziki wa bongo.
 
dah! huyu jamaa alikua poa. ndiye aliye mshauri mr ebo aimbie ile style. kipindi hicho mr ebo alikua anaimba hip hop tena kwa kimombo ndo baadae akaja na mi mmasai. Huu wimbo wa rafael upo kiwango sana. hadi sasa hamna anaye mfunika aisee!. mia

mkuu figganigga marehemu Mr. Abel alikuwa anaimba RnB kama za Mr. Paul. Saganda namkubali sana kwani baada ya yeye kutoa hiyo ngoma yake ndipo ulipojitokeza utitiri wa wasanii wakirap kwa kutumia idea yake. Sijui kwa nini jamaa hakusikika tena.
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

6 Reactions
Reply
Back
Top Bottom