Why 2008 hadi 12?
Kwanini Sio 2008 kushuka???

Nilitaka nikutumie za sasa.
Za zamani ninazo za miaka hiyo ya 90 enzi hizo wahenga tunakua kua

Miaka hiyo ndiyo gospel zilianza kibiashara bongo: kina Rose Muhando, Bahati Bukuku, Upendo Nkone, Beatrice Muone (huyu aliimba tenzi za rohoni, before 2007), kidogo kulikuwa na kwaya ya Kijitonyama Uinjilist.

Hizo tu, zingine itokee ila hazinipi upako kama hizo.
 
Haha haha,
Hivi kwanini huwa mnasema gospel singers ni wafanyabiashara!?
Kwani kuna mtu huwa anagawa bure CD ama kazi zake!??

Kijitonyama ninawapenda, kuna ile Kijitonyama upendo group wapo vizuri, mtoni avangelical(wale wa Lulu)
Kilimanjaro revival, barabara ya 13(ulyankulu)
Hizi unazijua!?????
 
Barabara ya 13 (Ulyankulu) ninasikiliza wimbo wa Samsoni na Delila.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom