Don Clericuzio
JF-Expert Member
- Dec 8, 2017
- 16,936
- 40,515
fundi wangu umeota unachukulia uhai wako na wasiojulikana?
Hakuna mkuu, nina zaidi ya miaka 10 nimeasi dini, ila naona kabisa bado napendelewa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
fundi wangu umeota unachukulia uhai wako na wasiojulikana?
Mkuu KIOO, naomba nyimbo kadhaa kama unazo itapendeza sana
1: MZESE CREW ft JUMA NATURE -siku nzuri inavyokwenda
2: HARDMAN ft H-BABA ( wimbo nimeusahau kidogo, una mahadhi ya rumbha ,
N furaha mbinguni malaika wanashangilia kondoo mmoja anaporudi kundini
Mimi naomba hizi zenye maneno haya,
-"Haya twendeni wote kule betlehemu tukamwone mkombozi wetu"
-"Mwanadamu kumbuka u mavumbi" ni wa majivu huu
-"Nitarudi na kusema,baba yangu nisamehe,nimekosa kwa imani na mbele....."
Mwenye hizi nyimbo tafadhali sana!
dah miaka mingi sana umeasi, fanya urudi nyumbani kwenu kabla wenye nyumba hawajakukataa.Hakuna mkuu, nina zaidi ya miaka 10 nimeasi dini, ila naona kabisa bado napendelewa.
nenda utube search, KWA VIUMBE VYOTE BARABARA 13 ULYANKULU, YESU ALIPOKUWA AMEKETI. ni wimbo mzuri sana, ninetoka kuusikiliza
Asante mkuuu ni wenyewe kumbe ni Danny Msimamo, vp na huo wa HARD MAN ft H -BABA , pls mkuuMkuu huo wimbo wa Manzese Crew unamaanisha ni huu...?
Mkuu napenda sana bounce alizotengeneza Producer Dunga kama unazo tafadhali nakuomba utuwekee kwenye huu uziMkuu huo wimbo wa Manzese Crew unamaanisha ni huu...?
Asante mkuuu ni wenyewe kumbe ni Danny Msimamo, vp na huo wa HARD MAN ft H -BABA , pls mkuu
Unapaswa usali sasaUnajua mimi nimejikuta tu kwamba dhambi sifanyi kivile halafu sisali sisali.
Sasa natakiwa kuchagua kitu kimoja.
Ulikosea SanaMimi niliacha kusali kwa sababu ya kujua issue za mapadri kadhaa.
Nikaona hakuna sababu, hata kuungama nikaacha.
Ila kwenye kufanya tafakari na kusoma injili na maandiko machache, nimegundua kwamba wale nao wana hukumu zao. Hivyo nijilinde kivyangu.
Ebu niambie song hii inaimbwa kipindi gn may be pentekoste, utatu mtakatifuWapendwa tumsifu Yesu Kristo.
Natafuta wimbo wenye lyrics zifuatazo:-
Yesu alipokuwa ameketi mlimani mizeituni,
Wanafunzi walimwendea wakimuuliza,
Tuambie mambo haya yatakuwa lini,
Nazo ni dalili gani za kuja kwake.
...
Nikipata MP3 au link ya YouTube itafaa pia.
Amani iwe nanyi.
Ndo huyo mkuu,ahsante sanaLabda ni huu sina uhakika
Kwa Mamu atakua nazoMimi naomba hizi zenye maneno haya,
-"Haya twendeni wote kule betlehemu tukamwone mkombozi wetu"
-"Mwanadamu kumbuka u mavumbi" ni wa majivu huu
-"Nitarudi na kusema,baba yangu nisamehe,nimekosa kwa imani na mbele....."
Mwenye hizi nyimbo tafadhali sana!
Huo wimbo nautafuta nadhani unaitwa ACHA WASEME... harafu mshikaji keshatangulia