Mkuu namba 1 na 5 umenikumbusha mbali sana1:NAOMBENI NYIMBO HIZI:-
SI ULILETA NYODO - WA DAJOO
2:WAPE VIDONGE WA SUMA G
3:TUMBO DENI LA DUNIA WA USWAHILINI MATOLA
4:JIKO LIMENUNA WA ZIG ZAG CREW
5:HEKAHEKA ZA TEACHER WA G SOLO NA INSPECTOR HAROUN
6:SITAKI DEMU RMX WA J NATURE ILA SIKUMBUKI ALIEMSHIRIKISHA.
NINGESHUKURU SANA KUZIPATA HIZI SABABU NIMESHAZITAFUTA HADI NIMECHOKA.
Mkuu salaam pls hebu nipm no yako fasta maana umenikosha sana
Sikutaka ni-comment chochote zaidi ya kushusha vyuma chakavu tu ila kwa comment yako hii imenifanya ni-comment na nimejikuta nafurahi tu mkuu.
Ngoja nikupe zawadi, waskilize kaka na dada aisee. ENJOY.
Kwenye Avatar yako umeshikilia niniNyie jamaa hakuna mwenye kuujua huu wimbo?
nahic video nilikuwa nayo ngoja nitafukunyua kwenye Library yanguYap ngoma ni yenyewe mkuu dah bongo bwana huwezi amini video ya hii ngoma alicheza bro wangu kabisaa toka nikutoke akiwa anasoma MUCE lakini video sijahi kuiona
Sanaa mkuunahic video nilikuwa nayo ngoja nitafukunyua kwenye Library yangu
Kwenye Avatar yako umeshikilia nini
Nyie jamaa hakuna mwenye kuujua huu wimbo?
Unakufuru, badilisha hiyo Avatar kwanza.Cigar.
Ina uhusiano na ninachoulizia?
Unakufuru, badilisha hiyo Avatar kwanza.
Nikajua cha Arusha sa nikawa najiuliza how come mtu ugonge mayai ya simba wakati huo huo uulizie habari za Yehova mwana wa God?Cigar.
Ina uhusiano na ninachoulizia?
I'm working for it... ngoja nipekue mafaili yanguNyie jamaa hakuna mwenye kuujua huu wimbo?
I'm working for it... ngoja nipekue mafaili yangu
ninazoo nyiiiingi mnoThanks, kuna nyimbo za zamani nilizokuwa nazisikiliza kipindi ni mdogo.
Naanza pia kuzikiliza ili zinipe inspiration ya kusali tena.
ninazoo nyiiiingi mno
poa poa.. naona kila niki search wananiletea andiko la biblia.. nadhnai aliutunga John mganduNitaandaa list aisee.
Nyingi nazipata kwenye mitandao pia.
NDIO SABABU WATU TUNAIPENDA JAMII FORUM SABABU IMETUSAIDIA KUKUMBUKA MAMBO MENGI.Mkuu namba 1 na 5 umenikumbusha mbali sana
poa poa.. naona kila niki search wananiletea andiko la biblia.. nadhnai aliutunga John mgandu