Tmk unit Roho mbaya
Unaweza kuwa huu?Wandava Click wakimshirikisha Juma Nature wimbo unaitwa kigetogeto original version
Unaweza kuwa huu?
Justine kalikawe Panapofuka moshiHuu ni Uzi Maalum kwa MwanaJF kutoa Wimbo wake ambao amekuwa akiutafuta kwa miaka mingi, Bila ya Mafanikio. Kwa yule aliyenao anaweza kumsaidia mwenzie kwa kumtumia wimbo huo hapa.
View attachment 628965
Kuna nyimbo ya Chid benz ft Ngwea ... achana na Speed 120 ipo ngoma moja ya zaman.. Ivi... Mc nimetoka mbali nio kwenye safari ..... msaada
Labda ni huu sina uhakikaEee wadau kuna jingoma lungine smkumbuki alieimba wala jina la wimbo ila kaanza kuchana akisema:mimi ni mwenzenu nasikitika sana ,sina hata la kusema nahuzunika sana ...kama kuna mtu anaijua basi anisaidie ntamzawadi konyagi
Upo hukuHabarini wadau!? Naomba mwenye wimbo "Vituko Uswahilini" (remix) wa Suma G na Inspekta Haruni aupandishe jukwaani.
Mkuu uliupata?kuna nyimbo ya Justine Kalikawe yenye maneno haya "usitumie cheo chako kama dhamana, kwa matakwa yako, utasababisha ajali kama ya mv bukoba..."
Kuna nyimbo flan ya washkaj walikua wanajiita war will wanamuongelea marehemu. Alaf kuna nyimbo ya jamaa anaitwa Pablo alikua karibu na daz nundaz kaimba na domokaya
Natafuta wimbo wa mr Ebbo - Vipi hatuoni
Sana mkuu ukikutana na mutu samilia ishia usitake kujua sana shika njia endelee dahNa mimi nautafuta sana Wimbo huu Wa Mr Ebbo - Vipi hatuoni ndani yake ameimba mambo mazito sana!
Check na huuWar will sifa halisi za marehemu