Natafuta Wimbo wa Kwaya - RC

Don Clericuzio

Don Clericuzio

JF-Expert Member
Joined
Dec 8, 2017
Messages
9,636
Points
2,000
Don Clericuzio

Don Clericuzio

JF-Expert Member
Joined Dec 8, 2017
9,636 2,000
N furaha mbinguni malaika wanashangilia kondoo mmoja anaporudi kundini
Unajua mimi nimejikuta tu kwamba dhambi sifanyi kivile halafu sisali sisali.

Sasa natakiwa kuchagua kitu kimoja.
 
Don Clericuzio

Don Clericuzio

JF-Expert Member
Joined
Dec 8, 2017
Messages
9,636
Points
2,000
Don Clericuzio

Don Clericuzio

JF-Expert Member
Joined Dec 8, 2017
9,636 2,000
Mimi naomba hizi zenye maneno haya,

-"Haya twendeni wote kule betlehemu tukamwone mkombozi wetu"

-"Mwanadamu kumbuka u mavumbi" ni wa majivu huu

-"Nitarudi na kusema,baba yangu nisamehe,nimekosa kwa imani na mbele....."
Mwenye hizi nyimbo tafadhali sana!
Huo wa mwanadamu u mavumbi nitakutumia baadae.
 
Daemusin

Daemusin

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2015
Messages
5,672
Points
2,000
Daemusin

Daemusin

JF-Expert Member
Joined Dec 15, 2015
5,672 2,000
Hakuna mkuu, nina zaidi ya miaka 10 nimeasi dini, ila naona kabisa bado napendelewa.
dah miaka mingi sana umeasi, fanya urudi nyumbani kwenu kabla wenye nyumba hawajakukataa.
Mungu hakatai mja wake lakini cha kushangaza wanaojifanya washikiliaji wakuu wa kwenda kwa mungu wanawakataa wafuasi wao waliopotea kwa muda usiojulikana
 
Don Clericuzio

Don Clericuzio

JF-Expert Member
Joined
Dec 8, 2017
Messages
9,636
Points
2,000
Don Clericuzio

Don Clericuzio

JF-Expert Member
Joined Dec 8, 2017
9,636 2,000
nenda utube search, KWA VIUMBE VYOTE BARABARA 13 ULYANKULU, YESU ALIPOKUWA AMEKETI. ni wimbo mzuri sana, ninetoka kuusikiliza
Siyo huo wa Ulyankulu, natafuta wa RC.
 
Don Clericuzio

Don Clericuzio

JF-Expert Member
Joined
Dec 8, 2017
Messages
9,636
Points
2,000
Don Clericuzio

Don Clericuzio

JF-Expert Member
Joined Dec 8, 2017
9,636 2,000
dah miaka mingi sana umeasi, fanya urudi nyumbani kwenu kabla wenye nyumba hawajakukataa.
Mungu hakatai mja wake lakini cha kushangaza wanaojifanya washikiliaji wakuu wa kwenda kwa mungu wanawakataa wafuasi wao waliopotea kwa muda usiojulikana
Mimi niliacha kusali kwa sababu ya kujua issue za mapadri kadhaa.

Nikaona hakuna sababu, hata kuungama nikaacha.

Ila kwenye kufanya tafakari na kusoma injili na maandiko machache, nimegundua kwamba wale nao wana hukumu zao. Hivyo nijilinde kivyangu.
 
Saint anne

Saint anne

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2018
Messages
1,699
Points
2,000
Saint anne

Saint anne

JF-Expert Member
Joined Aug 19, 2018
1,699 2,000
Mimi niliacha kusali kwa sababu ya kujua issue za mapadri kadhaa.

Nikaona hakuna sababu, hata kuungama nikaacha.

Ila kwenye kufanya tafakari na kusoma injili na maandiko machache, nimegundua kwamba wale nao wana hukumu zao. Hivyo nijilinde kivyangu.
Ulikosea Sana
Padri nae Ni binadamu ambaye Si mkamilifu
Hakuna mkamilifu duniani,,mkamilifu Ni Mungu mwenyewe

Ingekuwa watu wanaacha kusali kwa sababu ya mchungaji ama Padre ama askofu,,ingekuwa watu wanaacha kuimba kwaya ama praise kwa sababu ya watu wachache wenye tabia mbovu Basi kanisani kungekuwa hakuna watu kabisa
Padri Hana mbingu ya kukupeleka
 
M

Mtimkavuorg

Member
Joined
Nov 26, 2018
Messages
61
Points
125
M

Mtimkavuorg

Member
Joined Nov 26, 2018
61 125
Wapendwa tumsifu Yesu Kristo.

Natafuta wimbo wenye lyrics zifuatazo:-

Yesu alipokuwa ameketi mlimani mizeituni,
Wanafunzi walimwendea wakimuuliza,
Tuambie mambo haya yatakuwa lini,
Nazo ni dalili gani za kuja kwake.
...


Nikipata MP3 au link ya YouTube itafaa pia.

Amani iwe nanyi.
Ebu niambie song hii inaimbwa kipindi gn may be pentekoste, utatu mtakatifu
 
Don Clericuzio

Don Clericuzio

JF-Expert Member
Joined
Dec 8, 2017
Messages
9,636
Points
2,000
Don Clericuzio

Don Clericuzio

JF-Expert Member
Joined Dec 8, 2017
9,636 2,000
Ebu niambie song hii inaimbwa kipindi gn may be pentekoste, utatu mtakatifu
Hata najua basi, mara ya mwisho kuusikia ukiimbwa kanisani ni 2004, baada ya hapo sijausikia tena.

Ninaukumbuka kwa sababu latest nimeanza kusoma bible na nimeikuta hiyo mistari kwenye Gospels za Mathayo na Luka au Yohana.
 
Don Clericuzio

Don Clericuzio

JF-Expert Member
Joined
Dec 8, 2017
Messages
9,636
Points
2,000
Don Clericuzio

Don Clericuzio

JF-Expert Member
Joined Dec 8, 2017
9,636 2,000
Ulikosea Sana
Padri nae Ni binadamu ambaye Si mkamilifu
Hakuna mkamilifu duniani,,mkamilifu Ni Mungu mwenyewe

Ingekuwa watu wanaacha kusali kwa sababu ya mchungaji ama Padre ama askofu,,ingekuwa watu wanaacha kuimba kwaya ama praise kwa sababu ya watu wachache wenye tabia mbovu Basi kanisani kungekuwa hakuna watu kabisa
Padri Hana mbingu ya kukupeleka
Shukrani ndani, mimi naamini nilikosea, inafika wakati natafuta jinsi gani nirudi.

Hapa nimeanza kutafuta nyimbo nilizokuwa nazipenda nikienda kanisani. Then nitaanza upya kwenda.
 
Don Clericuzio

Don Clericuzio

JF-Expert Member
Joined
Dec 8, 2017
Messages
9,636
Points
2,000
Don Clericuzio

Don Clericuzio

JF-Expert Member
Joined Dec 8, 2017
9,636 2,000
poa poa.. naona kila niki search wananiletea andiko la biblia.. nadhnai aliutunga John mgandu
Naomba kwenye search list nisaidie pia huu:-

Mkombozi karibu moyoni mwangu ukae nami daima,
Yesu njoo, Yesu njoo moyoni mwangu,
Karibu, ukae nami daima, siku zote...
Ukae nami siku zote, karibu moyo wa uzima njoo....


Ukinifanikishia hizi nyimbo mbili Jumapili naenda kanisani.

Nimelimiss kanisa, hope Mungu atanisamehe.
 
Saint anne

Saint anne

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2018
Messages
1,699
Points
2,000
Saint anne

Saint anne

JF-Expert Member
Joined Aug 19, 2018
1,699 2,000
Nafsi imesharudi, bado mwili.

Jumapili nitaenda kanisani na nikiweza nitaungama next Saturday.

Wewe ni RC?
Mimi sio RC
Bali wote waliompokea aliwapa uwezo wa kufanyika watoto wa Mungu yoh1:12a

Kila atakayeliitia Jina la Bwana ataokoka
Rum10:13
Kila alitajaye jina la Bwana na auache uovu
2tim2:19a
Lakini zikimbie tamaa za ujanani;ukafuate Haki na imani na upendo na amani pamoja na wale wamwitao Bwana kwa moyo Safi
2tim2:22
 

Forum statistics

Threads 1,316,166
Members 505,519
Posts 31,881,032
Top