Natafuta Wimbo wa Kwaya - RC

D

Don Clericuzio

JF-Expert Member
Joined
Dec 8, 2017
Messages
9,581
Points
2,000
D

Don Clericuzio

JF-Expert Member
Joined Dec 8, 2017
9,581 2,000
Wapendwa tumsifu Yesu Kristo.

Natafuta wimbo wenye lyrics zifuatazo:-

Yesu alipokuwa ameketi mlimani mizeituni,
Wanafunzi walimwendea wakimuuliza,
Tuambie mambo haya yatakuwa lini,
Nazo ni dalili gani za kuja kwake.
...


Nikipata MP3 au link ya YouTube itafaa pia.

Amani iwe nanyi.
 
D

Don Clericuzio

JF-Expert Member
Joined
Dec 8, 2017
Messages
9,581
Points
2,000
D

Don Clericuzio

JF-Expert Member
Joined Dec 8, 2017
9,581 2,000
Unakufuru, badilisha hiyo Avatar kwanza.
Ukisoma biblia kwenye injili Yesu kuna mahali alisema aliye mzima hamuhitaji daktari.

Na yeye alikuja kwa ajili yetu sisi wadhambi
 
Da'Vinci

Da'Vinci

JF-Expert Member
Joined
Dec 1, 2016
Messages
20,111
Points
2,000
Da'Vinci

Da'Vinci

JF-Expert Member
Joined Dec 1, 2016
20,111 2,000
yaani naweza kuuimba wote ila nimesahau jina lake asee ngoja niendelee kukumbuka
 
D

Don Clericuzio

JF-Expert Member
Joined
Dec 8, 2017
Messages
9,581
Points
2,000
D

Don Clericuzio

JF-Expert Member
Joined Dec 8, 2017
9,581 2,000
I'm working for it... ngoja nipekue mafaili yangu
Thanks, kuna nyimbo za zamani nilizokuwa nazisikiliza kipindi ni mdogo.

Naanza pia kuzikiliza ili zinipe inspiration ya kusali tena.
 
D

Don Clericuzio

JF-Expert Member
Joined
Dec 8, 2017
Messages
9,581
Points
2,000
D

Don Clericuzio

JF-Expert Member
Joined Dec 8, 2017
9,581 2,000
poa poa.. naona kila niki search wananiletea andiko la biblia.. nadhnai aliutunga John mgandu
Ndiyo nilichokutana nacho na mimi, jina silijui kwa hiyo kuutafuta ni kazi.
 
severinembena

severinembena

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2018
Messages
1,982
Points
2,000
severinembena

severinembena

JF-Expert Member
Joined Jun 2, 2018
1,982 2,000
Mimi naomba hizi zenye maneno haya,

-"Haya twendeni wote kule betlehemu tukamwone mkombozi wetu"

-"Mwanadamu kumbuka u mavumbi" ni wa majivu huu

-"Nitarudi na kusema,baba yangu nisamehe,nimekosa kwa imani na mbele....."
Mwenye hizi nyimbo tafadhali sana!
 
Vladimir Lenin

Vladimir Lenin

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2018
Messages
2,196
Points
2,000
Vladimir Lenin

Vladimir Lenin

JF-Expert Member
Joined Jul 21, 2018
2,196 2,000
Wapendwa tumsifu Yesu Kristo.

Natafuta wimbo wenye lyrics zifuatazo:-

Yesu alipokuwa ameketi mlimani mizeituni,
Wanafunzi walimwendea wakimuuliza,
Tuambie mambo haya yatakuwa lini,
Nazo ni dalili gani za kuja kwake.
...


Nikipata MP3 au link ya YouTube itafaa pia.

Amani iwe nanyi.
Hawa wanaitwa ulyankuru barabara ya 13 arusha, "vumilieeeni iiiiiiiiii iiiii, vumilien hiiiii hiiii,. Wimbo mwingine wakt ule wa nuhuuuuuu.
 
MoroGent

MoroGent

Member
Joined
Jan 10, 2018
Messages
19
Points
75
MoroGent

MoroGent

Member
Joined Jan 10, 2018
19 75
nenda utube search, KWA VIUMBE VYOTE BARABARA 13 ULYANKULU, YESU ALIPOKUWA AMEKETI. ni wimbo mzuri sana, ninetoka kuusikiliza
 

Forum statistics

Threads 1,314,108
Members 504,779
Posts 31,815,248
Top