Natafuta wimbo 'Rosa' wa Tanga International

Mubii

Senior Member
Jul 24, 2008
152
28
Natafuta wimbo huu uliopigwa miaka ya 70 ama 80 na bendi ya Tanga International. Nimewahi kuulizia RTD kwenye banda lao la maonyesho pale Mnazi Mmoja mwaka 2009 lakini hawakuwa nayo kati ya nyimbo walizokuwa wanauza.
 
Back
Top Bottom