Natafuta Wimbo Huu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Natafuta Wimbo Huu

Discussion in 'Entertainment' started by Nzokanhyilu, Feb 15, 2008.

 1. Nzokanhyilu

  Nzokanhyilu JF-Expert Member

  #1
  Feb 15, 2008
  Joined: Feb 19, 2007
  Messages: 1,087
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 0
  Wajemeni vijana na wazehe,
  natafafuta haka kanyimbo huwaga kananikumbushiaga mbali kabisa kabisa. Nadhani kanaitwa;

  'Nilonge Nisilonge' - H-Mbizo. Yaani ukikapataga, naombaga unisogezeege.

  Nimekatafuta mirima na mabonde, ila tambalale sijafikaga.
  Asandeni mwanawane.
   
 2. Nzokanhyilu

  Nzokanhyilu JF-Expert Member

  #2
  Feb 15, 2008
  Joined: Feb 19, 2007
  Messages: 1,087
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 0
  SteveD? I know i can count on you mr deejay?
   
 3. Steve Dii

  Steve Dii JF-Expert Member

  #3
  Feb 16, 2008
  Joined: Jun 25, 2007
  Messages: 6,416
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  Nzokanhyiluyapingenu, aise nacheck check na mtu hapa kama wimbo unajulikana huo...

  Inabidi labda utaje lyrics zake hapa zaidi ili watu wautambue... kwa yale maneno machache uliyoyataja, wimbo unaonekana kama vile wa nursery school..

  labda kumcheck Geeque na maktaba yake anaweza kuwa nao..
  baadae, nikiupata pahali nita kupa shout.
   
 4. Nzokanhyilu

  Nzokanhyilu JF-Expert Member

  #4
  Feb 16, 2008
  Joined: Feb 19, 2007
  Messages: 1,087
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 0
  Geeque hana, nimecheki EATube, Ngome hana, unaopatikana unaitwa 'Kunguru'. Kuna jamaa alinitumia Hi5, nikasikiliza, siku nyingine naenda link kautoa. Nikiuliza bongo wanaujua but no one has it.
  Sikia hapa;

  Nilonge Nisilonge - H-Mbizo

  Wimbo wa kwanza katika video hiyo club. Huu wimbo unakita kichizi kwenye speakers. I just love this song.
   
 5. Geeque

  Geeque JF-Expert Member

  #5
  Feb 16, 2008
  Joined: Aug 17, 2007
  Messages: 848
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 35
  Mazee ninao huo wimbo kwenye Maktaba ya Bongo Radio. Si unajua mambo ya Bongo Radio huwa siwekagi pale EastAfricanTube. Hakuna noma nitakutumia niambie nitumie e-mail gani.
   
 6. Steve Dii

  Steve Dii JF-Expert Member

  #6
  Feb 16, 2008
  Joined: Jun 25, 2007
  Messages: 6,416
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  Duuh....!!
  Mazee, huo mzigo kwenye kideo ni wako?! lahaulah!! Noana pale mwishoni mwishoni unataja digits zake.... mwanawane, unajua nini.... nimefanikiwa kuzinakili zote!!! lol
   
 7. Nzokanhyilu

  Nzokanhyilu JF-Expert Member

  #7
  Feb 16, 2008
  Joined: Feb 19, 2007
  Messages: 1,087
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 0
  swadakta. nimeutafuta sana. hit me at info@
  Asante sana mkuu!!
   
 8. Nzokanhyilu

  Nzokanhyilu JF-Expert Member

  #8
  Feb 16, 2008
  Joined: Feb 19, 2007
  Messages: 1,087
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 0
  Bahuni utabajua tu.
  Unajua mimi mwenyewe nimeangalia kideo nikaanza kukariri namba. We piga tu teh teh teh. Nilikuwa sipewi mimi, ila nilikuwa makini just incase ningekutana na wewe ningekupa hahaaa.
   
Loading...