Natafuta sehemu ya kupata whey protein kwa hapa Tanzania

bigmukolo

JF-Expert Member
Mar 6, 2012
597
2,225
Wadau hasahasa waliopo Dar, natafuta whey protein ili inisaidie nataka kupunguza unene na kujenga mwili...mwenye kujua inapouzwa anijuze, kwa sasa nipo Mwanza.

Nawasilisha

ziko zinapatikana..
personally madukani sijawahi kuziona.. ila mikononi especially kwa wale wanaofanya bodybuilding ndio wanauza..

1.2300gms anauza laki mbili na nusu na wengine tatu ( yaani linakuwa kopo zima) pia anakupimia kama uwezo mdogo, robo sh 25000.. Brand new

UKUBWA WA KOPO NI KAMA HUU na hizi ndo alizonazo sasa hivi

View attachment 95488

������
Amt Per Serving% Daily Value*
Calories1230
Calories From Fat30
Total Fat3.5g5%
Saturated Fat1g5%
Trans Fat0g
Cholesterol35mg12%
Sodium400mg17%
Potassium970mg28%
Total Carbohydrate250g83%
Dietary Fiber3g12%
Sugars10g
Protein50g100%
Vitamin A50%
Vitamin C50%
Calcium60%
Iron20%
Vitamin D25%
Vitamin E50%
Thiamin160%
Riboflavin120%
Niacin130%
Vitamin B6130%
Folate50%
Vitamin B1280%
Biotin50%
Pantothenic Acid130%
Phosphorus50%
Iodine50%
Magnesium35%
Zinc50%
Selenium50%
Copper25%
Manganese50%
Chromium50%
Molybdenum50%
* Percent Daily Values are based on a 2,000 calorie diet.
Your daily values may be higher or lower depending on your calorie needs
��
Ingredients:
Glucose Polymers, Protein Blend (Whey Protein Concentrate, Whey Protein Isolate, Egg Albumin, Milk Protein Isolate, Partially Hydrolyzed Whey Protein), Rice Protein Concentrate, Brown Rice Protein Concentrate, Taurine, L-Glutamine, Nondairy Creamer (Sunflower Oil, Corn Syrup Solids, Sodium Caseinate, Mono- And Diglycerides, Dipotassium Phosphate, Tri-Calcium Phosphate, Soy Lecithin, Tocopherols), Natural And Artificial Flavor, Xanthan Gum, Rice Starch, Calcium Citrate, Dipotassium Phosphate, Cellulose Gum, Tricalcium Phosphate, Magnesium Aspartate, Carrageenan, Vitamin-Mineral Blend (Ascorbic Acid, Niacinamide, D-Alpha Tocopheryl Succinate, D-Calcium Pantothenate, Zinc Citrate, Pyridoxine Hydrochloride, Ferrous Fumarate, Thiamine Mononitrate, Riboflavin, Manganese Amino Acid Chelate, Beta-Carotene, Copper Gluconate, Folic Acid, Biotin, Potassium Iodide, Chromium Polynicotinate, Molybdenum Amino Acid Chelate, Selenomethionine, Cyanocobalamin, Cholecalciferol), Sodium Chloride, GanedenBC30 (Bacillus Coagulans GBI-30 6086), Sucralose, Acesulfame Potassium, Lactase
Allergen Warning:
CONTAINS MILK, EGG AND SOY INGREDIENTS.

2.View attachment 95489

MUSCLE BODY BASICS
EASY ALL IN ONE POWDER
CHOCOLATE FLAVOUR
2.2kg

INGREDIENTS:
Protein Blend(whey protein concentrate*,whey protein isolate*,soya protein isolate), fructose,dextrose monohydrate,maltodextrin, skimmed milk powder,inulin, creatine monohydrate,reduced fat cocoa powder,BCAA (L-Glutamine, L-Leucine, L-Valine, L-Isoleucine), medium chain triglycerides, flavour, LA mineral blend (calcium HMB, magnesium oxide, zinc oxide, chromium chloride hexahydrate), thickeners (guar gum, xanthan gum), Taurine, vitamin B6. *from milk

Nutrition Per Serving:
Energy - 2320kj
Energy - 554kcal
Protein - 46.8g
Carbs - 72g
- of which sugars 58.1g
Fat - 6.3g
- of which saturates 0.3g
Dietary Fibre - 10.6g
Sodium - 0.183g

SEALED TUB
BEST BEFORE FEB 2015

AN ADVICE FROM ME..

Kula chakula kidogo maji mengi, and fanya saana mazoezi ya viungo hasa kukimbia it will help on weight loss.
La muhimu hasa, acha kula vyakula vyenye fats

KILA LA KHERI on your bodybuilding
 
Okay, nitakutafutia hiyo mashine katika maduka kesho nitakapoenda mjini, lakini uzito wako ni kiasi gani, urefu nao ni kiasi gani na je wewe ni me au ke?
 
wadau hasahasa waliopo dar,natafuta whey protein ili inisaidie nataka kupunguza unene na kujenga mwili...mwenye kujua inapouzwa anijuze,,,kwa sasa nipo mwanza...nawasilisha

Jaribu kwenye pharmacy kubwa kama Nakiete n.k huenda ukabahatika kuipata.
Ila whey proteins kwa huku kwetu sina uhakika kama zinapatikana.
Kila la kheri!
 
Kujenga mwili vyema kunaendana na mambo mengi, yakiwemo aina ya chakula unachokula, life style yako pamoja na mazoezi
 
Kujenga mwili vyema kunaendana na mambo mengi, yakiwemo aina ya chakula unachokula, life style yako pamoja na mazoezi
sasa hali ya uchumi ni mbaya natakiwa nipate gram 218 za protini kwa siku sina uwezo wa kununua kila siku maini kilo moja pamoja na maziwa lita mbili that why i need whey protein
 
ziko zinapatikana..
personally madukani cjawahi kuziona.. ila mikononi especially kwa wale wanaofanya bodybuilding ndo wanauza..

1.2300gms anauza laki mbili na nusu na wengine tatu( yaani linakuwa kopo zima) pia anakupimia kama uwezo mdogo, robo sh 25000.. Brand new

UKUBWA WA KOPO NI KAMA HUU na hizi ndo alizonazo sasahv

Gaspari-RealMass.png

������
Amt Per Serving% Daily Value*
Calories1230
Calories From Fat30
Total Fat3.5g5%
Saturated Fat1g5%
Trans Fat0g
Cholesterol35mg12%
Sodium400mg17%
Potassium970mg28%
Total Carbohydrate250g83%
Dietary Fiber3g12%
Sugars10g
Protein50g100%
Vitamin A50%
Vitamin C50%
Calcium60%
Iron20%
Vitamin D25%
Vitamin E50%
Thiamin160%
Riboflavin120%
Niacin130%
Vitamin B6130%
Folate50%
Vitamin B1280%
Biotin50%
Pantothenic Acid130%
Phosphorus50%
Iodine50%
Magnesium35%
Zinc50%
Selenium50%
Copper25%
Manganese50%
Chromium50%
Molybdenum50%
* Percent Daily Values are based on a 2,000 calorie diet.
Your daily values may be higher or lower depending on your calorie needs
��
Ingredients:
Glucose Polymers, Protein Blend (Whey Protein Concentrate, Whey Protein Isolate, Egg Albumin, Milk Protein Isolate, Partially Hydrolyzed Whey Protein), Rice Protein Concentrate, Brown Rice Protein Concentrate, Taurine, L-Glutamine, Nondairy Creamer (Sunflower Oil, Corn Syrup Solids, Sodium Caseinate, Mono- And Diglycerides, Dipotassium Phosphate, Tri-Calcium Phosphate, Soy Lecithin, Tocopherols), Natural And Artificial Flavor,

Xanthan Gum, Rice Starch, Calcium Citrate, Dipotassium Phosphate, Cellulose Gum, Tricalcium Phosphate, Magnesium Aspartate, Carrageenan, Vitamin-Mineral Blend (Ascorbic Acid, Niacinamide, D-Alpha Tocopheryl Succinate, D-Calcium Pantothenate, Zinc Citrate, Pyridoxine Hydrochloride,

Ferrous Fumarate, Thiamine Mononitrate, Riboflavin, Manganese Amino Acid Chelate, Beta-Carotene, Copper Gluconate, Folic Acid, Biotin, Potassium Iodide, Chromium Polynicotinate, Molybdenum Amino Acid Chelate, Selenomethionine, Cyanocobalamin, Cholecalciferol), Sodium Chloride, GanedenBC30 (Bacillus Coagulans GBI-30 6086), Sucralose, Acesulfame Potassium, Lactase
Allergen Warning:
CONTAINS MILK, EGG AND SOY INGREDIENTS.

2. body.JPG

MUSCLE BODY BASICS
EASY ALL IN ONE POWDER
CHOCOLATE FLAVOUR
2.2kg

INGREDIENTS:
Protein Blend(whey protein concentrate*,whey protein isolate*,soya protein isolate), fructose,dextrose monohydrate,maltodextrin, skimmed milk powder,inulin, creatine monohydrate,reduced fat cocoa powder,BCAA (L-Glutamine, L-Leucine, L-Valine, L-Isoleucine), medium chain triglycerides, flavour, LA mineral blend (calcium HMB, magnesium oxide, zinc oxide, chromium chloride hexahydrate), thickeners (guar gum, xanthan gum), Taurine, vitamin B6. *from milk

Nutrition Per Serving:
Energy - 2320kj
Energy - 554kcal
Protein - 46.8g
Carbs - 72g
- of which sugars 58.1g
Fat - 6.3g
- of which saturates 0.3g
Dietary Fibre - 10.6g
Sodium - 0.183g

SEALED TUB
BEST BEFORE FEB 2015

AN ADVICE FROM ME..

Kula chakula kidogo maji mengi, and fanya saana mazoezi ya viungo hasa kukimbia it will help on weight loss.
La muhimu hasa, acha kula vyakula vyenye fats

KILA LA KHERI on your bodybuilding
 
Nafikiri game ya mlimani city wanaeza kua nayo. Lakini kama u mean business in terms of working out mbona unaweza kujipimia mayai fresh na maziwa kwenye shake bottle ukawa unaongeza dozi with time.

It works much batter n its very sustainable. Ukiacha kutumia whey protein mwili auchelewi kuisha ndo tatizo
 
Yes your right.. bt depending on ur goals
Mkuu so sihitaji kufanya mazoezi yoyote endapo ntatumia hiyo kitu?napenda sana kua baunsa.Pls funguka ili tufanye biasha,pia ni muda gani ntasubili ili kuanza kua na muonekano wa ubaunsa?
 
Mkuu so sihitaji kufanya mazoezi yoyote endapo ntatumia hiyo kitu?napenda sana kua baunsa.Pls funguka ili tufanye biasha,pia ni muda gani ntasubili ili kuanza kua na muonekano wa ubaunsa?

Hata ukitumia hauwez kuwa baunsa bila kufanya na mazoezi, wote tunajua kuwa protein ndio tofali la mwili, ila kwenye upande wa kuwa baunsa ni lazima uchanganye na mazoez mazito ili hiyo protein itumike zaid kwenye misuli
 
Mkuu so sihitaji kufanya mazoezi yoyote endapo ntatumia hiyo kitu?napenda sana kua baunsa.Pls funguka ili tufanye biasha,pia ni muda gani ntasubili ili kuanza kua na muonekano wa ubaunsa?
Kufanya mazoezi usitake baunsa Fanya mazoezi kujiweka na afya acheni ushamba kwan baunsa ufahari au
 
wadau hasahasa waliopo dar,natafuta whey protein ili inisaidie nataka kupunguza unene na kujenga mwili...mwenye kujua inapouzwa anijuze,,,kwa sasa nipo mwanza...nawasilisha
Inamazara makubwa sana mwilini Yale nimakemikali ndugu rafikiyangu katumia naanamisuli lakini kifokinamwandama
 
Back
Top Bottom