Natafuta WEO wa kubadilishana naye.

Mbutaa

Member
Dec 2, 2012
10
2
Wapendwa wana JF salamu kwenu. mimi ni Mtendaji wa kata mkoani kilimanjaro wilaya ya Siha. Natafuta mtu wa kubadilishana naye kutoka katika wilaya moja wapo kati ya Kinondoni, Ilala, Temeke, Kibaha au Kisarawe ili niweze kukaa karibu na familia yangu Dar es salaam. Atakayekuwa tayari anitumie PM na nipo tayari kuinunua nafasi hiyo. Naomba msaada wenu. Asante.
 
ipo cku kikwete anaweza kuomba mtu wa kubadilishana nae kaz.
 
Back
Top Bottom