wehoodie
JF-Expert Member
- Nov 20, 2011
- 1,021
- 992
Nina shida na webiste developer kwa ajili ya ku-develop website fulani hivi...siongelei simple template yenye pich moja bali complex website yenye functionality na uwezo wa kuhandle data za kutosha.
Nimejaribu freelance developers wa bangalore -India kwenye alibaba lakini sijapata jibu. Naomba mwenye kufahamu developers anisaidie.
Thanks
Nimejaribu freelance developers wa bangalore -India kwenye alibaba lakini sijapata jibu. Naomba mwenye kufahamu developers anisaidie.
Thanks