bigmind JF-Expert Member Oct 28, 2015 12,457 12,668 Nov 9, 2017 #3 Evelyn Salt said: Mbuzi za kukunia Nazi au Click to expand... Uliza vyema unaweza jipatia mbuzi wa kukunia papuchi...!
Evelyn Salt said: Mbuzi za kukunia Nazi au Click to expand... Uliza vyema unaweza jipatia mbuzi wa kukunia papuchi...!
SK2016 JF-Expert Member Apr 6, 2017 7,971 13,662 Nov 9, 2017 #4 Fafanua vizuri Uzi wako ili ueleweke zaidi.
mshipa JF-Expert Member Jun 16, 2015 12,160 22,615 Nov 9, 2017 #6 Mbuzi peleka vingunguti wapo wateja wakudumu pale
X_INTELLIGENCE JF-Expert Member Mar 25, 2014 9,647 12,215 Nov 10, 2017 #9 Tangazo lako halijakaa vizuri...ungeweka ata kapicha
babamwenyenyumba JF-Expert Member Apr 20, 2013 5,161 5,971 Nov 10, 2017 #11 Tangazo lako ungeweka bei, mahali walipo , picha ya hao mbuzi na no za mawasiliano