Natafuta wataalamu walio somea coz ya Agriculture

manlaw

Member
Apr 20, 2017
53
18
Wahusika walio somea koz hiyo hapo juu naomba mjitokeze ili nawengine wapate faida
 
edit uzi wako mkuu, halafu useme hitaji lako vzuri maana watu kujiorodhesha kwenye uzi eti wamesoma kilimo siyo rahisi na kwa faida ipi...jaribu kusema unashida gani wahusika wakusaidie
 
Wakuu nazani kidogo mmenipata sasa naomba mnisaidie kwasababu nimechaguliwa kusoma Agriculture General alafu sijafahamu kiundanizaid yakua kwaupande wa ajila inakuaje naombeni msaada we nu
 
Anyway. ...umechaguliwa chuo gan?? Kwa ngaz IPI???
 
Wakuu nazani kidogo mmenipata sasa naomba mnisaidie kwasababu nimechaguliwa kusoma Agriculture General alafu sijafahamu kiundanizaid yakua kwaupande wa ajila inakuaje naombeni msaada we nu
Chuo gani umechaguliwa na ni daraja gani? General ndo kila kitu lakini inamambo mengi usipokuwa making sup zinakuwa dailyyyyy
 
Back
Top Bottom