Natafuta wataalamu wa ku-pimp (kuweka nakshi) viatu

thA goD

JF-Expert Member
Jul 27, 2017
1,941
1,843
Habari wana JF

Hii puma yangu imebanduka ngozi juu, sole bado inadai. Nitafurahi kupata msaada wa wapi wanarekebisha viatu yenye matatizo haya.

Ni matumaini yangu nitapata ufumbuzi wa tatizo hili hapa.
IMG_20200711_093951.jpeg
IMG_20200711_093932.jpeg
 
Nimejikuta nacheka tu na sio kwa kudhihaki la hasha ila kwa kufurahi tu aisee.

JF is never boring...!
 
Back
Top Bottom