Sitachoka
JF-Expert Member
- Nov 17, 2011
- 3,030
- 1,306
Tarehe moja mwezi ujao nafungua grocery na jiko la chakula hivyo nahitaji watu hao tufanye nao kazi,
>Sifa wawe wanajukusoma na kuandika hasa hesabu.
>Wawe wachapakazi na wachangamfu
>Kwa wasichana wawe wazuri na wenye kuvutia
>Kwa kijana wa kiume awe anajua kutengeneza kitimoto, kuchoma kuku, kupika chips
Eneo la kazi ni Dodoma
Kwa wenye uhitaji na kazi tuwasiliane mapema maana nafasi ni hizo tatu
Namba 0716863406.