Natafuta wasichana wanne wa kazi Arusha

Jofrey Elifas

Member
Mar 12, 2018
19
11
Natafuta wasichana wanne wa kazi wawe arusha tuu naomba mtu alieko nnje ya arusha asipige cm
Mashart
Awe najua kutunza kumbu kumbu
Awe mwaminifu pia awe mkwel
Tupigie cm +255769368674
+255744390023
 
Ilo lipo wazi mbona. Mwajiri hana writing skills. Ukipata kazi muoneshe utaalamu ulioupata pale Mlimani a.k.a UDSM
Jamaaa anataka wake wanne kwa mara moja Mwingine atakaa kwemye draw la pesa,mmoja anaendesha pickup, wawili wahudumu makuli wakusambaza bidhaa
 
Napenda kwenda kumsalimia rafiki yangu yupo university of Arusha ili tu nipande hiace za USA river ' napendaaaa mno wanavyoongea raia waliokulia R chuggah
Ngongongare/safari njema/mji mwema/napoco
 
Back
Top Bottom