Habar wana JF.
Kama kuna mtu ana idea. Natafuta duka linalouza wallpapers for walls nzuri na kwa bei rahisi ikiwezekana npate na fundi mtaalam wa kuzibandika.
Natanguliza shukran.
nahitaji pia. bei gani?Uko wapi mkuu
Unataka za maneno au picha?
zipo mkuu, toa specification zako. kama vile maneno ya aina gani, michoro n.k
Znapatkana wap? Napendelea maua na michoro isiyo chosha kama pics hizo hapo juu zinavyojionyesha.
Nenda DECOR au wapigie , 0655768786Habar wana JF.
Kama kuna mtu ana idea. Natafuta duka linalouza wallpapers for walls nzuri na kwa bei rahisi ikiwezekana npate na fundi mtaalam wa kuzibandika.
Natanguliza shukran.
kumbe wall paper zakubandika!! mi nilijua picha za kutundika ukutani! lakini hata hii niliyoandika inaweza kusaidia kupamba nyumba.ingia internet tafuta na download picha unayoipenda ila hakikisha ina resolution kubwa. baada ya hapo nenda studio kaisafishe na inunulie au ichongee fremu kulingana na rangi ya fenicha zako au rangi utayopenda. nimewahi fanya hivi na kila siku nilikuwa naziangalia utafikiri mpya. kwa size uliyoonyesha hapo juu haikufika 15000 kwa picha mbili na fremu zake gharama kubwa ilikuwa kununua fremu( (sikusafishia studio)). nakushauri uchonge fremu maana utapata rangi na utaweka urembo unaoutaka. bila kusahau picha ambayo unajua ulichoweka inafurahisha sana hata mtu akiuliza ni rahisi kumuelezea.
nime fatlia nikapata duka mmoja lipo nyuma ya bilcanas posta kuna round about na sheli hilo duka lina tazamana na hiyo sheli duka linaitwa Dolson...kwa tarifa nlizo pata 1sq meter ni 30,000Habar wana JF.
Kama kuna mtu ana idea. Natafuta duka linalouza wallpapers for walls nzuri na kwa bei rahisi ikiwezekana npate na fundi mtaalam wa kuzibandika.
Natanguliza shukran.
ingia internet tafuta na download picha unayoipenda ila hakikisha ina resolution kubwa. baada ya hapo nenda studio kaisafishe na inunulie au ichongee fremu kulingana na rangi ya fenicha zako au rangi utayopenda. nimewahi fanya hivi na kila siku nilikuwa naziangalia utafikiri mpya. kwa size uliyoonyesha hapo juu haikufika 15000 kwa picha mbili na fremu zake gharama kubwa ilikuwa kununua fremu( (sikusafishia studio)). nakushauri uchonge fremu maana utapata rangi na utaweka urembo unaoutaka. bila kusahau picha ambayo unajua ulichoweka inafurahisha sana hata mtu akiuliza ni rahisi kumuelezea.
@Majigo sorry sana ndugu sijakupotezea. jana nilikuwa najibu pm yako lakini mtandao ulikuwa down nikashindwa kuapload. baadae uliporudi nikawa nimegundua kumbe post yangu ilikuwa off point. watu walikuwa wanazungumzia wall papers mi nikajibu kuhusu picha za ukutani. Ndo maana nikapost hapo juu kwamba nilichanganya mambo.nikajua ukiisoma utajua sitaweza kukujibu maana nilikuwa nimechanganya mada.pamoja sana mkuu