Natafuta wafanyakazi wa benki hizi..

Mikhail Tal

JF-Expert Member
May 12, 2016
377
672
Habarini watanzania.

Kuna research fupi naifanya na ningependa kuwasiliana na wafanyakazi wa bank zifuatazo, sana sana walioko kwenye branch.

Standard Chartered, Stanbic, Exim, Banc ABC, Bank M, BOA, FNB, I&M

Ningependa kama kuna mhusika ani pm namba then nimpigie nimuulize mawili matatu.

Asanteni sana
 
Back
Top Bottom