Natafuta wafanyabiashara nitakaofanya nao biashara ya dagaa waliokaangwa na Samaki

Mbogo nyeusi

JF-Expert Member
Dec 27, 2019
233
540
Mimi ni mkazi wa Musoma natafuta wafanyabiashara nitakaofanya nao biashara ya dagaa wa mafuta au waliokaangwa, dagaa waliokaushwa na jua, samaki sangara waliokaangwa na sato waliokaangwa.

Nitakutumia mzigo popote ulipo, Dar es salaam, Moshi, Singida, Manyara, Arusha na maeneo mengine yenye shida ya mboga kama Dodoma, Iringa, Njombe, Morogoro na Mbeya.

Naombeni msaada.
 
Hongera Mkuu. Ungeweka na bei ungeweza hamasisha watu kuagiza kwako wakilinganisha na bei wauzaji wengine.
 
Mimi ni mkazi wa Musoma natafuta wafanyabiashara nitakaofanya nao biashara ya dagaa wa mafuta au waliokaangwa, dagaa waliokaushwa na jua, samaki sangara waliokaangwa na sato waliokaangwa.

Nitakutumia mzigo popote ulipo, Dar es salaam, Moshi, Singida, Manyara, Arusha na maeneo mengine yenye shida ya mboga kama Dodoma, Iringa, Njombe, Morogoro na Mbeya.

Naombeni msaada.
Nahitaji kufanya biashara ya samaki kwa Dar, bado niko nafanya research ya soko kwa hapa dar lakini pia research ya supplier kutoka mwanza na musoma, kama hutajali can we keep in touch?
 
Nahitaji kufanya biashara ya samaki kwa dar, bado niko nafanya research ya soko kwa hapa dar lakini pia research ya supplier kutoka mwanza na musoma, kama hutajali can we keep in touch?
Binti kama una mtaji mzuri nenda Boko mnemela, ipo nyuma ya kibaha tumbi, kule hakuna bucha la samaki wabichi
Raia wakitaka samaki wana wafata Maili moja.
 
  • Thanks
Reactions: ram
Nahitaji kufanya biashara ya samaki kwa dar, bado niko nafanya research ya soko kwa hapa dar lakini pia research ya supplier kutoka mwanza na musoma, kama hutajali can we keep in touch?
Naomba unicheck kwenye hii namba 0762899550
 
Back
Top Bottom