Natafuta wadhamini wa nyimbo za injili

Madam Lucky

Member
Sep 22, 2018
44
36
hallow, wapendwa kama nilivyojitambulisha majina yangu pamoja na Kazi yangu, Nina changamoto ya mdhamini wa Kazi yangu ya uimbaji, maana Nina mashairi ya kutosha, natumain nikimpata mdhamini nitafanya Kazi hii kama sins Akili nzuri.

Ninakuomba kama Upo tayar nisaidie lakin pia naomba usambaze taarifa hii ili nimpate mdhamini. Na Mungu atakubariki sana.

Kwanini usifanye kazi sasa hivi kama huna akili nzuri ili upate kusogeza watu karibu nawe.

"Kizuri kitafuatwa"
 
Nimeutazama kwa ufupi ila usije sema natumika na shetani kukukatisha tamaa.

Angalia wasanii wanaofanya vyema kwenye nyimbo za Injili kisha jilinganishe nao kidogo tu, utagundua bado unatakiwa kujipika ufanane nao.

Nyimbo za kuruka na kuchezacheza sio kuwa ndizo zitapendwa na watu ila imba kuchoma mioyo na hisia za watu.

Muziki ni hisia, ukiweza kushika hisia za mtu mbona kucheza ni haraka sana.
Ni kwel mkuu usemavyo ila sio kwamba sijafanya chochote, Tayar nmetoa album yenye nyimbo 6 video na Wimbo uliobeba album iyo huu APA

hallow, wapendwa kama nilivyojitambulisha majina yangu pamoja na Kazi yangu, Nina changamoto ya mdhamini wa Kazi yangu ya uimbaji, maana Nina mashairi ya kutosha, natumain nikimpata mdhamini nitafanya Kazi hii kama sins Akili nzuri.

Ninakuomba kama Upo tayar nisaidie lakin pia naomba usambaze taarifa hii ili nimpate mdhamini. Na Mungu atakubariki sana.

nakushauri Kwa sababu unafanya Mziki kama biashara na kumtumikia Mungu, Badilisha namna ya Uimbaji wako Kwa sababu Uimbaji wako ni wa kizazi kilichopita na sio hiki, Jifunze Kwa watu hawa, Paul Clement, Joel lwaga, Gozbert, Angel Bernard,Jesca honore nawengine kwani wanakwenda Kwa namna ya kizazi hiki.....Asante
 
Shida nyimbo zenu za fujo sana, imbeni nyimbo zilizopoa/zenye ujumbe mzuri uliitulia. Mimi Na fujo fujo sipatani kabisa
Ndicho nilichoona wengi wanafanya, waangalie Gozbert anachofanya hakuna fujo ila wimbo unasikika na kuingia kwenye hisia za mtu.
 
Nimeutazama kwa ufupi ila usije sema natumika na shetani kukukatisha tamaa.

Angalia wasanii wanaofanya vyema kwenye nyimbo za Injili kisha jilinganishe nao kidogo tu, utagundua bado unatakiwa kujipika ufanane nao.

Nyimbo za kuruka na kuchezacheza sio kuwa ndizo zitapendwa na watu ila imba kuchoma mioyo na hisia za watu.

Muziki ni hisia, ukiweza kushika hisia za mtu mbona kucheza ni haraka sana.
Asante ila zipo nyimbo nyingine, ngoja nikutumie uone lakin pia ni album ya kwanza kwaiyo na ugen unachangia
 
nakushauri Kwa sababu unafanya Mziki kama biashara na kumtumikia Mungu, Badilisha namna ya Uimbaji wako Kwa sababu Uimbaji wako ni wa kizazi kilichopita na sio hiki, Jifunze Kwa watu hawa, Paul Clement, Joel lwaga, Gozbert, Angel Bernard,Jesca honore nawengine kwani wanakwenda Kwa namna ya kizazi hiki.....Asante
Asante ntaifanyia kazi
 
Aise nakuomba fuata ushauri utakuaaidia sana, hii style ya rose muhando haikufai
 
Kuna mahali umekatika kama Yondo sister na sehemu nyingine umedokoa ukatazama juu ukashuka chini af ukang'ata kidole kama Aurlus Mabele au kanda bongo man!! daah.. mi nimekukubali sana
 
Hahahaaha jamanUOTE="kalagabaho, post: 28493757, member: 30674"]Kuna mahali umekatika kama Yondo sister na sehemu nyingine umedokoa ukatazama juu ukashuka chini af ukang'ata kidole kama Aurlus Mabele au kanda bongo man!! daah.. mi nimekukubali sana[/QUOTE]
Hahahaa
 
Kazi nzuri sana hiyo, nimeielewa.

Natumai utapata Mdhamini muda si mrefu.
 
Usikate tamaa piga moyo konde mungu yupo pamoja nawe kutangaza injili ya bwana si kazi raisi pambana tu ipo siku
 
Back
Top Bottom