Gwaje
JF-Expert Member
- Nov 4, 2010
- 299
- 85
Habari wadau,
Ninashamba la ukubwa wa ekari 10 lenye rutuba nzuri na yakutosha linalofaa kwa mazao kama nyanya, vitunguu, mahindi, matikiti, mapapai, machungwa na migomba. Shamba lipo kilosa morogoro. Shamba liko 5km kutoka barabara ya kilosa dumila ambayo inalami na shambani panafikika mwaka mzima.
Shamba lina vyanzo vya maji vya uhakika kwa mwaka mzima.
Nimejenga nyumba ya makazi bora hapo shambani, kuna mabanda ya kufugia mifugo kama kuku na nguruwe na hata ngombe. Sehemu ina usalama sana.
Hivyo natafuta Investor au business partner ambaye tutashirikiana pamoja.
Kwa mtu ambaye yuko serious anaweza kunitumia DM tukawasiliana