Natafuta wadada wawili wa kazi, kuhudumia Bar

Deo Shy

Member
Oct 18, 2016
98
300
Wakuu salama. Natafuta wadada wawili wa kuhudumu katika bar yangu iliyopo Tegeta, Nyaisozi.

Sifa
~Awe mchapakazi
~Awe na mvuto
~Ajue hesabu za MAGAZIJUTO
~Mtanashati

NB: Ni Bar mpya, wateja ni wengi, na pia Tip zitakuwepo za kutosha..

Any interested girl come inbox!
 
kuna ma agent karatu wa kazi izo kama unataka nikupe no ila mashariti yao uwape pakukaa nje ya mshahara wao
 
Back
Top Bottom