Natafuta waandishi wa hadithi na historia za Kiingereza

raslimali

JF-Expert Member
Nov 4, 2014
464
500
Habari wana JF.
Kama kuna mtu yeyote anayeandika hadithi kwa lugha kwa kiingereza ningependa kuzitafsiri hadithi zake kwa lugha ya Kijerumani. Nitatoa kipaumbele kwa hadithi ambazo tayari ziko sokoni hasa kwenye Amazon ila yeyote yule hata kama ni mwandishi mpya tafadhali tuwasiliane kwa simu namba 0758040586 au hapa JF.

Kama ni mwandishi ambaye tayari unauza kazi zake Amazon nitafanya tafsiri bila gharama ya mwanzo ila tutaelewana commission yangu kwenye mauzo. Zinaweza kuwa hadithi za kutunga (fiction), hadithi/ simulizi za kweli, historia, mila na desturi za makabila ya Afrika. Hata kama hujawahi kuchapa kitabu chako lakini unayo manuscript tuwasiliane.

Nawasilisha.
 

KeyserSoze

JF-Expert Member
Feb 26, 2014
5,241
2,000
By the way una soko Ujerumani au access ya soko la huko? kama kuna kitabu kindle kdp unaweza kukipa soko huko Ujerumani? kuna mdau ana manuscripts mbili sio fiction, bali ni business and economics kipo amazon kindle
 

KeyserSoze

JF-Expert Member
Feb 26, 2014
5,241
2,000
By the way kikibadilika it means kitakuwa uploaded in the same platform, same book different languages.., Amazon wanasemaje kuhusu hili ngoja nicheki..
 

raslimali

JF-Expert Member
Nov 4, 2014
464
500
Thanks KeyserSoze. Unaweza kunipatia angalau page mbili nikaziangalia? Ujerumani nina marafiki wengi sana na kama kitabu kipo Amazon ni suala la kuwatumia link tu. But Germans are fond of African stories. Ila nitumie angalau page mbili nione kama German community itakuwa na interest nacho. You can as well email me at uwekezaji@gmail.com. Asante sana.
 

Mlenge

R I P
Oct 31, 2006
2,132
2,000
Interesting stuff.

Angalia hapa ( https://www.amazon.com/kindle-dbs/entity/author/B002KGRRK8 ) ukiona kitabu unachopenda kukifasiri, tuanzie hapo...
Habari wana JF. Kama kuna mtu yeyote anayeandika hadithi kwa lugha ya kiingereza ningependa kuzitafsiri hadithi zake kwa lugha ya Kijerumani. Nitatoa kipaumbele kwa hadithi ambazo tayari ziko sokoni hasa kwenye Amazon ila yeyote yule hata kama ni mwandishi mpya tafadhali tuwasiliane kwa simu namba 0758040586 au hapa JF. Kama ni mwandishi ambaye tayari unauza kazi zake Amazon nitafanya tafsiri bila gharama ya mwanzo ila tutaelewana commission yangu kwenye mauzo. Zinaweza kuwa hathi za kutunga (fiction), hadithi/simulizi za kweli, historia,mila na desturi za makabila ya Afrika. Hata kama hujawahi kuchapa kitabu chako lakini unayo manuscript tuwasiliane. Nawasilisha.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom