Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Natafuta wa ubavu

Discussion in 'Love Connect' started by Njaa, Dec 6, 2011.

 1. Njaa

  Njaa JF-Expert Member

  #1
  Dec 6, 2011
  Joined: Dec 6, 2009
  Messages: 900
  Likes Received: 144
  Trophy Points: 60
  Hello natafuta msichana may be atakuwa my wife, ila hii itatokana na maridhiano baada ya kuchunguzana kwa muda, mimi ni mwanaume mwenye umri wa miaka 31, nina masters ya uhandisi wa maji, kikazi nipo jijini Dar & part time Morogoro. Natufuta mwanamke mwenye umri chini ya wangu, awe na walau degree moja au kazi fulani i.e mwalimu, awe hajazaa wala kutoa mimba, awe mkristu wa dhehebu lolote. Kwa mawasiliano ni PM

  Kama umri wako ni mkubwa zaidi yangu unaweza pia kuni-PM, kama kuna matches fulani baina yetu tunaweza kusonga mbele...
   
 2. Roulette

  Roulette JF-Expert Member

  #2
  Dec 6, 2011
  Joined: Dec 15, 2010
  Messages: 5,618
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Good luck, nina uhakika utapata...
   
 3. feis buku

  feis buku JF-Expert Member

  #3
  Dec 6, 2011
  Joined: Aug 29, 2011
  Messages: 2,371
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  seems uko serious! nakuombea upate!
   
 4. Cantalisia

  Cantalisia JF-Expert Member

  #4
  Dec 6, 2011
  Joined: Sep 26, 2011
  Messages: 5,227
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Kila la kheri,
  Je Taget yako ni ya JFmembers tu au na wasomaji pia?
  Ungeweka mawasiliano kwa ajili ya wasomaji km email au no za cm.(ni ushauri tu)
   
 5. Ringo Edmund

  Ringo Edmund JF-Expert Member

  #5
  Dec 6, 2011
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 4,899
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  we njaa unataka kurubuni wadada wa jf?
  katume kwenye gazeti namba yako ya cm utapata vicheche mpaka unchanganyikiwe.
   
 6. Njaa

  Njaa JF-Expert Member

  #6
  Dec 6, 2011
  Joined: Dec 6, 2009
  Messages: 900
  Likes Received: 144
  Trophy Points: 60
  Thanks
   
 7. Njaa

  Njaa JF-Expert Member

  #7
  Dec 6, 2011
  Joined: Dec 6, 2009
  Messages: 900
  Likes Received: 144
  Trophy Points: 60
  Thanks
   
 8. Njaa

  Njaa JF-Expert Member

  #8
  Dec 6, 2011
  Joined: Dec 6, 2009
  Messages: 900
  Likes Received: 144
  Trophy Points: 60
  Vigezo na mashart kuzingatiwa kaka
   
Loading...