bulbulmunar
Member
- Dec 17, 2015
- 56
- 14
Ukiwa ni miongoni mwa vijana unaependa kujiajiri ila mtaji umekosekana...mimi ni mmojawapo...natafuta watu ambao wanaweza kutafuta watu/ofisi...zinaohitaji vitambulisho.
Kazi yangu itakuwa kudesigning vitambulisho vyao, matangazo ya kawaida, kadi za biashara, logo(chata),invite card..n.k.tutakuwa tunawapatia katika soft copies....wanaenda kuprint kwa namna wanavyohitaji...wenyewe.
Bei...ya kudesigning vitambulisho..5000pc..moja..pesa hiyo tukipata tutagawana sawa...aliyetayari..ni PM...ni vizuri zaidi kama una labtop au computer...