Natafuta wa kufanya naye kazi ya marketing

bulbulmunar

Member
Dec 17, 2015
56
95
Ukiwa ni miongoni mwa vijana unaependa kujiajiri ila mtaji umekosekana...mimi ni mmojawapo...natafuta watu ambao wanaweza kutafuta watu/ofisi...zinaohitaji vitambulisho.

Kazi yangu itakuwa kudesigning vitambulisho vyao, matangazo ya kawaida, kadi za biashara, logo(chata),invite card..n.k.tutakuwa tunawapatia katika soft copies....wanaenda kuprint kwa namna wanavyohitaji...wenyewe.

Bei...ya kudesigning vitambulisho..5000pc..moja..pesa hiyo tukipata tutagawana sawa...aliyetayari..ni PM...ni vizuri zaidi kama una labtop au computer...
 
Askari Muoga

JF-Expert Member
Oct 22, 2015
6,114
2,000
Ukiwa ni miongoni mwa vijana unaependa kujiajiri ila mtaji umekosekana...mimi ni mmojawapo...natafuta watu ambao wanaweza kutafuta watu/ofisi...zinaohitaji vitambulisho ,kazi yangu itakuwa kudesigning vitambulisho vyao,matangazo ya kawaida,kadi za biashara,logo(chata),invite card..n.k.tutakuwa tunawapatia katika soft copies....wanaenda kuprint kwa namna wanavyoitaji...wenyewe.bei...ya kudesigning vitambulisho..5000pc..moja..pesa hiyo tukipata tutagawana sawa...aliyetayari..ni PM...ni vizuri zaidi kama una labtop au computer...
ok niwazo zuri sana
 
naomba n Pm tufanye iyo kitu ya marketing maana mm nashindwa kuku pm hapa nipo full tayari kwa tools zote
 
Gwele

JF-Expert Member
Jun 7, 2016
1,239
2,000
Ukiwa ni miongoni mwa vijana unaependa kujiajiri ila mtaji umekosekana...mimi ni mmojawapo...natafuta watu ambao wanaweza kutafuta watu/ofisi...zinaohitaji vitambulisho.

Kazi yangu itakuwa kudesigning vitambulisho vyao, matangazo ya kawaida, kadi za biashara, logo(chata),invite card..n.k.tutakuwa tunawapatia katika soft copies....wanaenda kuprint kwa namna wanavyohitaji...wenyewe.

Bei...ya kudesigning vitambulisho..5000pc..moja..pesa hiyo tukipata tutagawana sawa...aliyetayari..ni PM...ni vizuri zaidi kama una labtop au computer...
 
bulbulmunar

Member
Dec 17, 2015
56
95
ipo hivi kaka...kama issue ilivyo....sehemu ulipo..unakuwa unatafuta watu...wanaohitaji....izo...vitu...mie nitakuwa na...designing nakutumia...unawaonyesha..wakikubali...watachukua...kwa soft copies wanaenda print wenyewe...coz sisi hatuna print....mie...afanya kwa 5000pc..coz wanaenda kuprint wao...id card moja...hivyo...kama kama id zinahitajika za watu 20..×5000=100000...Hiyo..tutagawana
 
bulbulmunar

Member
Dec 17, 2015
56
95
kazi itakuwa hivi..kama umepata ofisi inayohitaji....ID CARD....vitu vinavyohitajika kwao...ni...picha zao,majina yao,logo ya kampuni yao,nafasi zao..katika kazi,signiture,ambapo...vitu vyote hivyo...utanitumia wakisha kutumia wewe...
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom