Juru
Senior Member
- Jul 25, 2016
- 136
- 38
Hello members kuna group la vijana kama wa nne wako hawana kazi mtaani, wakiwa katika kipindi cha likizo wa angaliaa ni kipi cha kuweza kuwa weka bize mpaka pale likizo yao itakapo kwisha mwezi wa kumi tar 30.
elimu ni ongoing university students plz mwenye connection yoyote inaweza kusaidia kwa namna furani, asanteni
Sent using Jamii Forums mobile app
elimu ni ongoing university students plz mwenye connection yoyote inaweza kusaidia kwa namna furani, asanteni
Sent using Jamii Forums mobile app