Natafuta vijina wakufanya kazi nao

twaleeb

JF-Expert Member
Oct 13, 2016
231
83
Wadau natafuta crew ya kufanya kazi nao siangalia jinsia wala umri muhimu maelewano kwa mawasiliano zaidi nichek kupitia 0622001223

Usibeep wala kusms
 
mkuu mwaga data vijana wa join team kazi gani, wapi, wangapi atleast itatoa mwanga kidogo
 
Wadau natafuta crew ya kufanya kazi nao siangalia jinsia wala umri muhimu maelewano kwa mawasiliano zaidi nichek kupitia 0622001223

Usibeep wala kusms
Kazi gani isiwe kuuzishana sembe toa data kamili..
 
Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom