Natafuta vijana wawili walio sharp kwa ajili ya kuuza ice cream

Shayla

Senior Member
Mar 25, 2014
193
129
Natafuta vijana wawili walio sharp kwa ajili ya kuuza ice cream. Mkoa ni Dar es salaam
Aliye tayari naomba anipm
Natanguliza shukrani.
 
Wakuu ice cream ninazoongelea hapa ni za vijiti na vifuko zile za sh mia mia.
 
hizo ice cream si ni bora ukachukue ndugu uwpe kazi kuliko vjana utawalipa kias gani sasa
 
Kuhusu kuwalipa sio tatizo. Juhudi katika kazi ndio inahitajika.
 

Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom