Nimekupm mbona hujibu?Natafuta vijana wawili walio sharp kwa ajili ya kuuza ice cream. Mkoa ni Dar es salaam
Aliye tayari naomba anipm
Natanguliza shukrani.
Mkuu nina uzoefu wa miaka 9, nipe kazi boss wanguWakuu ice cream ninazoongelea hapa ni za vijiti na vifuko zile za sh mia mia.
Kama upo tayari nipm nikupe maelekezi.Tutakubipu kwa namba gani,maana mimi nipo tayar