OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,118
- 24,046
You're welcome boss.......All the best mates
Niko sakina mkuu. Karibu!Niko Ara
Uko maeneo gan?
Boss wakishapatikana hao watu watano tutaweka options mezani then itajadiliwa na solution itakayopatikana ndo tuna anza nayo. Karibu sanaMbona hutoi details za kutosha ili anaekuja ajue anaanzia wapi
Location
Mtaji
Chakula gani
Watu wangap
Amen mkuu. Karibu sana kwa mchango pia wa mawazoMkuu kwanza hongera sana tena sana, wazo ni zuri na hiyp ya kuwa nyie wenyewe ndio maboss na nyie wenyewe ndio wafanyakazi nimeipenda....Mungu awafanyie wepesi
Mkuu hata mawazo pia ni muhimu.Nitawatia hasara tu..Ahsante
ukiwa na hela mbona hamna shida.Nina interest sana ya kufika uwo mkoa ila pakufikia sina...
Haha sasa ningekuwa na pesa si mwendo wa kufanya safari tu nafika lodge nalala hata mwaka mzima.ukiwa na hela mbona hamna shida.
sasa kwnn utaman tu kwenda huko wakat hujajipanga?Haha sasa ningekuwa na pesa si mwendo wa kufanya safari tu nafika lodge nalala hata mwaka mzima.
Ukiwa na pesa unauwezo wa kwenda kokote muda wowote hata kusiwe na unayemfahamu.
Duu mtoto wa Bakhresa ana ID kumbe na humu jukwaani, alafu wewe ndio unayelia miaka minne huna huna ajira ndio unatoa kauri kama hii utachelewa jomba.sasa kwnn utaman tu kwenda huko wakat hujajipanga?
Good Mentor.Mungu akawe pamoja nanyi ktk kila zuri mtakalo jadili,Akasaidie ktk upatikanaji wa vijana wakweli na wenye nia njema na Awafanikishe ktk viwango vile mlivyo tamani iwe,Ni idea nzuri sana sana sana kama mtakutana wote mna nia na lengo 1 isitokee mkapshana ktk maono yenu hakikisheni wote target yenu ni 1.
nimeipenda sana lakini mimi ni moja wa vijana wasio amini ktk biashara za ushirika yani boss zaidi ya mmoja,ila hii hainifanyi niwaache peke yenu bado nitakua pamoja nanyi wakati wote mtakaonihitaji kimawazo/ushauri/pesa kama mko serious,Count me in nitawasaidia kama vijana wenzangu tu.
Wizi huuNatafuta vijana watano walio siriyaz na kazi tuungane tufanye biashara. Itakuwa ni biashara ya chakula.
Sisi ndio wafanya kazi na sisi ndio maboss. Niko Arusha kama utapenda ku join karibu. Nicheki wasap 0768246184.
NB: jinsia zote mnakaribishwa.
"USIPOFANYA KITU, HAKITATOKEA KITU"
CC CONTROLA