Natafuta vijana waliosharp kwa ajili ya kazi ya kuuza ice cream na maji mashuleni

Shayla

Senior Member
Mar 25, 2014
193
129
Wapendwa za Jioni, natafuta vijana waliosharp kwa ajili ya kazi ya kuuza Ice cream na maji mashuleni. Mshahara ni usharp wa kijana tu. Akiuza sana na ujira utakua mkubwa pia.

Kwa aliyenaye au anamfaham mtu naomba NI PM
 
Kwahiyo hautak vijana waliblunt
 
Back
Top Bottom