Natafuta vijana wa kupalilia shamba la nanasi na msimamizi wa shamba

naona ndugu yangu unapata shida ya kutafuta watu wa palizi hautawapata mimi nakupa njia rahisi na ndio ya kufanya naimani umelima kwa Mstari nunua sheet la plastc then funika ile minanasi Mlba mzima funika milaba 2 wa kulia kwako na kushoto kwako then pulizia ile Dawa ya magugu pale kati ukimaliza unahamishia mstar mwingine kwa mda wa 1 week hiyo kazi umemaliza bila kumtuma mtu wa ziada Watanzania wengi ni wavivu ndivyo yanavyo lima hapa CUBA CARBEAN.. ni kazi wa watu 2 tu Kwa ekar hizo 12
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom