Natafuta Vijana wa kazi kwa ajili ya kunyoa, saloon za kiume. Nipo Chamanzi DSM

Feb 12, 2020
66
84
Habari za uzima wana JF,

Natafuta Vijana wa #kazi kwaajili ya Saloon

Eneo - Chamazi Magengeni (DSM)

NB: 1) Sio lazima awepo Dar es Salaam, Mkoani pia napokea (makubaliano yapo)

Kama upo tayari/unamfahamu mtu mwenye uhitaji:-

0744 156 260 (SMS and calling only)

IMG_20211113_153339.jpg
 
Natafuta Vijana wa kazi kwa ajili ya kunyoa, saloon za kiume.

Saloon IPO Chamazi Magengeni (Dar es salaam)

NB :- Sio lazima awepo DSM, hata ukiwa Mkoani unakubaliwa

- Kiwango cha Mshahara ni Makubaliano.

Mawasiliano
0744 156 260
 
Inategemea location na huduma zinazotolewa ndan pia mazingira ya odfis,location ukiwa nzuri na saloon ukiwa classic pia kukiwa kuna issue za scrublng,massage,pedcure facial per day kukichanganya unaeza ingiza hata laki3 siku ikipoa hamsin to 30..kiukwel ni biashara inalpa ukizingatia location na ubora wa ofis maaana ofis ikiwa classic hata bei ya huduma inachangamka.
 
Back
Top Bottom