Natafuta Vifuko/vifungashio vya Ice cream

GPP1922

JF-Expert Member
Sep 8, 2019
533
532
Habari wadau, nafanya biashara ya ice cream hizi za ubuyu au ukwaju za kufunga. Changamoto ninayoipata kwa sasa niupatikanaji wa vifungashio/ vifuko. Kwa wadau waliopo DSM mwenye kujua mahali ambapo nitapata kwa wingi kwa bei jumla au rejareja tujuzane.
 
Back
Top Bottom