Natafuta vifaa vya umeme na ujenzi kwa bei ya jumla-nina duka mtwara

HAZOLE

JF-Expert Member
Feb 25, 2011
1,551
708
HI JF MEMBERS.
NIMEFUNGUA DUKA LA REJAREJA LA KUUZA VIFAA VYA UJENZI NA UMEME MKOANI MTWARA. NAOMBA KAMA KUNA MTU ANADUKA ANAUZA KWA JUMLA ANIJUZE ILI NIWE NANUNUA KWAKE. PIA ATANISAIDIA KUPATA UZOEFU NA CHANGAMOTO ZA BIASHARA NZIMA YA HARDWARE.
MWENYE DUKA ANI PM AU EMAIL to l_mbeye@yahoo.com
MBARIKIWE SANA.
 
Mkuu hongera kwa kujitoa muhanga!wewe njoo karikoo kuna kila kitu!ikununua kwa bei ya jumla unanunua kwa bei nzuri sana!kwani kwa duka la reja reja huhitaji kuwa na vitu vinavyofanana!kuna vitu kwa mfano.tiles,vyoo,taa na switch za umeme!mabomba nk.kwa hiyo unahitaji kununua kwenye maduka tofauti tofauti mkuu!kila la heri
 
ubarikiwe
 
Mkuu, njoo Dar es Salaam, zunguka mitaa ya Swahili, Nyamwezi, Aggrey, Kipata, Somali. Congo. Unaangalia kwanza bei za bidhaa zunguka ata siku mbili, then ndio unaanza kununua, pamoja Mkuu
 
CD umetoa ushauri mzuri sana!

Hata mimi nafanya biashara hiyo. Nilienda mara ya kwanza nikajidai kuzunguka saa chache tu eti nikaamua kununua vifaa vya ujenzi kumbe Shen'zi Mhindi amenigalaliza, yaani bei ilikuwa juu kuliko maelezo pamoja na kwamba nilipata faida lakini ilikuwa kiduchu. Nikarudi mara ya pili nikajipa muda wa siku 2 kuzunguka tu mitaa yote hiyo uliyoitaja, Loooh! Mbona nilipata maduka ambayo yanauza vifaa hivyo kwa bei nafuu sana yaani ukifikisha huko unakopeleka inakulipa vizuri mno.

Hivyo huyo ndugu afuate huo ushauri wako Atafanikiwa!!

Karibu ndugu kwenye hiyo biashara!!
 
ndugu nenda kati ya tabata relini na dampo upande wa kulia kama watoka ubungo kuna godown linaitwa kwa msudan yaani maduka ya jumla dar ndipo hununua bidhaa
 
Bongolala unaweza kutupatia namba za huyo Msudan?
 
HI JF MEMBERS.
NIMEFUNGUA DUKA LA REJAREJA LA KUUZA VIFAA VYA UJENZI NA UMEME MKOANI MTWARA. NAOMBA KAMA KUNA MTU ANADUKA ANAUZA KWA JUMLA ANIJUZE ILI NIWE NANUNUA KWAKE. PIA ATANISAIDIA KUPATA UZOEFU NA CHANGAMOTO ZA BIASHARA NZIMA YA HARDWARE.
MWENYE DUKA ANI PM AU EMAIL to l_mbeye@yahoo.com
MBARIKIWE SANA.

Mbona mkuu hukurudisha majibu kama ulifanikiwa?
 
Back
Top Bottom